ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Watetezi wengi wa Lowassa ni watoto wa 1990- na ukijumlisha na uvivu wao wa kusoma basi unapata jibu la wanayoyasema haraka tu, ukiwaona wote much know, yaani kila mtu anajua, ila ndo unawaona katika productions zao maeneno tofauti, wanalipua, wanatoa vitu ambavyo ni cheap mno, vichwani weupe zaidi ya sembe ..yaani ni hasara kwa Taifa kama kunakuwepo watu wenye soft minds kiasi hiki
Hivi wanaojikataa wenyewe mchana kweupe, wazazi wao (Lodi Lofa & co) wakiwa bado hai, ndio wanawekwa kundi gani?