Msipotoshe, CCM haijatawala Miaka 50

Msipotoshe, CCM haijatawala Miaka 50

Ndugu yangu nadhan unajambo la kujifunza kuhusu huu ubadhilifu wa tanzania, ni kweli haya yote yamekuwa kero kwa wananchi na ccm kwa kulitambua hilo wameamua kufanya mabadiliko makubwa kabisa kuwahi kutokea kwa kuwaondoa mafisad papa ambao ndio ilikuwa ajenda ya upinzan sasa leo hao manyangumi ndio wamekuwa vinara wa mabadiliko ni aibu kubwa pamoja na kuwa kwa uwezo wako umetizama ukaona ccm kizazi cha nyoka lakin amin usiamin mambo hayo ndo yatakuwa kwa upinzani

I was about to be duped by this so called transformation happening within CCM party but then I discovered that what's happening is just smoke screen and mirror. Dr Magufuli is just a figurehead, there's still big boys (Kikwete,Mkapa,many filthy guys) who will still be pulling the string for him.We need to get rid of current rotten and dysfunctional system (CCM) and begin from the scratch, don't be duped by Dr Magufuli cleanness nonsense.
 
Huu ndiyo ukweli na ni lazima tuuelezenchama cha mapinduzi hatujaongoza nchi kwa miaka 50 Iko hivi .

1--1961 tulipopata uhuru TANU ndiyo iliongoza Tanganyika na si Tanzania hadi 1977 ni miaka 16.

1964 zanzibar ilifanya mapinduzi matakatifu na ASP ndiyo iliingoza nchi .

2--1964 tuliunganisha nchi kuwa Tanzania lakini vyama viliongoza eneo lake na si chama cha mapinduzi .

3--1977 ndipo tuliunganisha vyama vya TANU na ASP na kuzaliwa CCM hivyo ccm iliiongoza tanzania toka 1977 hadi 1995 tulipofanya uchaguzi wa vyama vingi ni takribani miaka 18 tu na hao wanaojiita wapinzani wakiwemo ndani ya serikali yaCCM.

Hivyo hawana sababu ya kukwepa amma kuzusha amma kuongopa kua hawakuwemo amma kushiriki na kutoa michango yao kwa miaka 34 toka tupate uhurub1961 hadi 1995.

4--Baada ya uchaguzi 1996 ndipo CCM kwa kuaminiwa na wananchi tulikabidhiwa kuwaongoza na kuiongoza nchi ni miaka19 tu na si 50 kama inavyodaiwa na kupotoshwa na vyama na wanachama wa vyama vya upinzani Tanzania.

5--Kwa mtazamo wako kwa akili na busara usikubali kudanganywa na upotoshaji huu usio na tija wala faida hauna takwimu wala tafiti za kweli na za maana zilizofanyiwa kazi kwa umakini nao.

6--Hii ni kuthibitisha kua wanachama wa vyama vya upinzani hawapo tayari kuwaambia watanzania ukweli na kuukubali ukweli sababu wamezoea kupinga na kusema uongo daima.

7--Nawaomba na kuwashauri watanzania kuwa makini kutowasikiliza na kutowapigia kura 25 oktoba sababu nia na madhumuni yao hayapo wazi ni kututumbukiza katika matatizo makubwa.

8--Chagua kilicho bora chagua chama cha mapinduzi na viongozi wake kwa manufaa maendeleo na mustakabali mzuri wa taifa letu kwa amani utulivu upendo na maendeleo.

Mungu awabariki sana muwe na busara na hekima muchague chama cha mapinduzi kuanzia madiwani wabunge na raisi.

9--Mungu ibariki tanzania na watu wake tujaalie afya busara na hekima.

Imetengenezwa nami HALFAN SAIDI DOSI kada wa chama cha mapinduzi.

rudisheni viwanja vya michezo maana vilikuwepo kabla ya ccm
 
Chakaza wewe ukiwa haupo nyumbani, lazima watotowako lazima watakuwa wanakuita Mr.Zero...
Asante Binti Magufuli
Unakosa hoja wewe! Tumia akili kwanza, kwa jibu lake jiulize is Ukawa a registered party? Ukawa utailinganisha na muungano wa Tanu na ASP? Basi kumbe tunajadili na watu mbumbumbu kabisa na kupoteza muda wetu.
Nashauri mngeenda shule kidogo ili kuondoa hii aibu.
 
Je mwaka 1961 kulikuwa na Chama cha CCM?
Ni kama vile Useme ukawa ilikuwepo tokea 2010 kwa kuwa tu vyama vya umoja huo vilikuwepo miaka hiyo.

Jiongezee

Rafiki CCM=TANU.Aliyetawala toka TANU hadi CCM ikiwa na miaka 24 alikuwa mwanachama wa chama gani??Baada ya hapo Chama gani kiliingia madarakani???

Rafiki Tumeacha kulazimishwa kuwa wanachama wa TANU/CCM mwaka 1995 baada ya vyama vingi.Enzi hizo hata kuku walitakiwa awe mwanachama wa TANU/CCM inategemea na umri uliokuwa nao.

Katiba inayotumika leo ya CCM ndiyo ile iliyokuwa ya TANU cha ajabu Azimia La ARUSHA hadi leo lipo kwenye katiba ya CCM.

Ukiwa mtoto ukaitwa jina la kitoto na unapoanza shule unaandikishwa kwa jina lako lako halisi na sila lile la kitoto wala la UTANI haikubadilishi wewe kuwa tofauti na yule aliyeitwa jina la UTANI.

Hata wale viongozi waliokuwa wakituongoza enzi za TANU ndiyo wale wale wa ENZI za CCM,hivyo nisawa na kusema miaka 54 ya Uhuru chini ya CCM tumezidi kurudi nyuma badala ya kwenda Mbele.

Ni bora miaka 24 ya kwanza tulikuwa na heshima tukawa tunaenda vichwa vikiwa juu leo mh,miaka 30 baadaye ukifika nje unaona aibu hata kusema unatokea Tanzania
 
Kweli Watanzania wengine hawana akili kabisa. Wana mbongo ambazo haziwezi kupima na kutafakari. Wana macho na masikio yasiyoona wala kusikia. Hawawezi kuuona umasikini walionao na wala hawawezi kutafakari chanzo chake kuwa ni siasa mbaya na uongozi mbaya. Hawezi kuona kuwa mfumo huu wa CCM ndio uliasisi rushwa na ufisadi na wizi wa rasilimali za nchi hii. Tunabaki na mashimo wakati wawekezaji wanaondoka na dhahabu. Mikataba ya gesi iliwekwa kabla ya kuwa na sera yagesi na tutaishia kusema kuwa tuna gesi isiyo na faida kwetu. Tembo porini wanaisha. Nchi yetu imekuwa kituo kikubwa cha madawa ya kulevya. Elimu yetu ndo hivyo tena. Tunapanua magoli ili ionekane kuwa wanafunzi wanashinda. Mabonde mazuri ya ardhi wazawa wamefukuzwa kwa kisingizio cha wawekezaji. Afya ndio usiseme. Barabara wanazojivunia ni mikopo ambayo kila mtanzania anadaiwa zaidi ya laki nane. Watanzania hawa hawaoni kuwa tatizo ni mfumo na dawa yake ni kuungoa kabisa. Magufuli ni mzuri lakini katika mfumo huu hataweza kufanya chochote. Bado wengine wanasema kuwa kuchukua hatua za kuungoa mfumo na kuleta mabadiliko ni kufuata mkumbo.Wamejaa woga wa mabadiliko kiasi ambacho wako tayari kuishi kama watumwa katika nchi yao. Inabidi watanzania wa jinsi hii waache utoto na wakue katika fikra ili wachukue hatua sahihi za kulikomboa taifa lao.
 
Hata kama imetawala kwa sekunde cha msingi ni kuing'oa tu hamna namna!
 
Wewe katika miaka 19 ondoa miaka 10 ya Sumaye waziri mkuu na pia ondoa miaka 3 ya Lowasa waziri mkuu, unabaki na miaka 6, kwa sababu utetezi wetu ukawa tunasema hawa wawili walifanya mambo ya kueleweka sio au? Kwa hiyo tuiadhibu ccm kwa miaka 6 tuu. Ina maana hata hii miaka 6 hakuna kikichofanyika, ?? Embu tuwe fair. Asilimia 85 ya miaka hiyo 19 ilikuwa chini ya uongozi wa wagombea wetu kina Lowasa. Je bado unasema hawakufanya kitu? ? Na kama hawakufanya kitu kwa uwezo wao woote tutegemee miujiza gani sasa! Ndii maana tunaitwa wapumbavu na malofa. Na mimi nasema sawa kabisa nakubali.

Tulia ujifunze. Usiwe na papara wala jazba

Jambo la msingi ambalo unatakiwa kuelewa ni kwamba; Chama ni taasisi na wala sio mtu. Hivyo basi Sumaye au Lowassa hata Magufuli sio CCM. CCM/CHADEMA ni taasisi ambayo inaratibu na kusimamia matendo ya watendaji wake(kama hao uliowataja) ili kupata matokeo ya kile kilichokusudiwa. Matendo mazuri au mabaya ya hao watendaji inategemea pia na usimamizi mzuri au mbaya wa taasisi husika(chama).

Hivyo basi, Lowassa au Sumaye wanaweza wakawa walifanya vibaya kwenye taasisi ya CCM(kwa mtazamo wako), lakini wakafanya vizuri sana sana kwenye taasisi ya CHADEMA, ambayo ndivyo haswa itakavyokuwa baada ya kuchaguliwa tarehe 25/10
 
Mwendelezo ;
Umesahau na ndani ya miaka hiyo 19,
10) Sumaye amekuwa waziri mkuu kwa miaka 10, na 11)Lowasa kwa miaka karibu 3. Wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli zote za serikali.
12) ndani ya kipindi cha Sumaye, yeye ndiye aliidhinisha uuzwaji wa nyumba za serikali.
13) Richmond dili ilisimamiwa na Lowasa akiwa waziri mkuu
Naomba wengine waendeleze
14) ESCROW dili lilisimamiwa na MBOWE
15) KAGODA dili lilisimamiwa na LISSU
16) MEREMETA dili lilisimamiwa na MNYIKA
17) EPA alisimamia MSIGWA
18) MENO YA TEMBO alisimamia SUGU
19) MADAWA YA KULEVYA alisimamia MDEE
20) MABILIONI YA USWISI nani vileee, ni LEMA
21) TWIGA na WENZAKE huyu kwa vyovyote ni MABERE MARANDO
Tuendelee au yatosha?
 
ccmm imepokea kijiti kutoka kwa tanu. ungekuwa unajua mbio za vijiti usingepost huu uzi wako.
hata kama kwa mfano imetawala miaka mitano, wot we need is changes. tanzania sio ya ccm, ni ya watanzania wote.
hata cdm ikishika dola afu ikashindwa kukidhi mahitaji ya watanzania next time tunaipiga na chini, tutaweka chama kingine, nadhani tujaribu maisha ya trial life labda ndo tutayaweza.
 
katika miaka 19 ccm iliyatawala, miaka 10 alitawala sumaye na miaka 2 na ushee alitawala lowasa katika nafasi ya uwaziri mkuu. Embu tuambie matendo gani waliyofanya katika kuzuia maufisadi hayo. Kwa mifano. Kwa sababu yalifanyika wakati wakiwa madarakani. Au na wao walishiriki katika maufisadi hayoo? ?
hapo kwenye red tu inaonyesha jinsi ulivyo kilaza, rekebisha haraka...
 
I was about to be duped by this so called transformation happening within CCM party but then I discovered that what's happening is just smoke screen and mirror. Dr Magufuli is just a figurehead, there's still big boys (Kikwete,Mkapa,many filthy guys) who will still be pulling the string for him.We need to get rid of current rotten and dysfunctional system (CCM) and begin from the scratch, don't be duped by Dr Magufuli cleanness nonsense.
This is rubbish! ! I tell you. You need to reason using your brain and nat your buts. Do you want to tell us Lowasa is clean? ? Is ukawa clean? ? This is rubbish, even our ukawa leaders have once denied that no one is clean here! Surely can someone throw a stone to the other to prove his cleanliness? ?!!
So dont influence us by your low thinking arguments. Tanzanians are awake now! Dont ever undervalue their thinking capacity. Never! Over our dead bodies!
 
ccmm imepokea kijiti kutoka kwa tanu. ungekuwa unajua mbio za vijiti usingepost huu uzi wako.
hata kama kwa mfano imetawala miaka mitano, wot we need is changes. tanzania sio ya ccm, ni ya watanzania wote.
hata cdm ikishika dola afu ikashindwa kukidhi mahitaji ya watanzania next time tunaipiga na chini, tutaweka chama kingine, nadhani tujaribu maisha ya trial life labda ndo tutayaweza.

Hawakupokea kijiti,wamebadilisha jina tu lakini misingi na rasilimali watu(Nyerere,Kawawa,etc) vilibakia kuwa vile vile tu.
 
Mwendelezo ;
Umesahau na ndani ya miaka hiyo 19,
10) Sumaye amekuwa waziri mkuu kwa miaka 10, na 11)Lowasa kwa miaka karibu 3. Wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli zote za serikali.
12) ndani ya kipindi cha Sumaye, yeye ndiye aliidhinisha uuzwaji wa nyumba za serikali.
13) Richmond dili ilisimamiwa na Lowasa akiwa waziri mkuu
Naomba wengine waendeleze

13. ESCROW ya nani..??
14. Loriondo kuuzwa ni ya nani..??
15. EPA ya nani..??
16. Meremeta ya nani..??
17. Twiga kundishwa ndege ya nani..???
18. Kiwira Coal mine ya nani..??

Naomba wengine waendeleze
 
CCM ilirithi mikoba yote ya mfumo na utajiri wa ASP na TANU. Kama ilivyorithi dola bila uchaguzi wa vyama 1977 na utajiri kama viwanja vya michezo ndivyo kwa kipimo hicho hicho imerithi mazuri na mabaya kuanzia 1961.

We wakanushie lakini jua ndo maana wao hawakanushi
 
Mwendelezo ;
Umesahau na ndani ya miaka hiyo 19,
10) Sumaye amekuwa waziri mkuu kwa miaka 10, na 11)Lowasa kwa miaka karibu 3. Wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli zote za serikali.
12) ndani ya kipindi cha Sumaye, yeye ndiye aliidhinisha uuzwaji wa nyumba za serikali.
13) Richmond dili ilisimamiwa na Lowasa akiwa waziri mkuu
Naomba wengine waendeleze
Kuonyesha hamna akili kwa katiba yetu mwenye maamuzi ya mwisho ni Rais, tena yeye ni Mwenyekiti wa baraza la mawaziri, isitoshe Waziri Mkuunachaguliwa na rais, kwa upunguani wako tena bila aibu unadiriki kuongopa kuwa Sumaye ndiye alyeidhinisha uuzwaji wa nyumba za serikali, Mapunguani nyie, na Mkapa alilazimishwa? Akili zote mmemuachia Makamba
 
Tulia ujifunze. Usiwe na papara wala jazba

Jambo la msingi ambalo unatakiwa kuelewa ni kwamba; Chama ni taasisi na wala sio mtu. Hivyo basi Sumaye au Lowassa hata Magufuli sio CCM. CCM/CHADEMA ni taasisi ambayo inaratibu na kusimamia matendo ya watendaji wake(kama hao uliowataja) ili kupata matokeo ya kile kilichokusudiwa. Matendo mazuri au mabaya ya hao watendaji inategemea pia na usimamizi mzuri au mbaya wa taasisi husika(chama).

Hivyo basi, Lowassa au Sumaye wanaweza wakawa walifanya vibaya kwenye taasisi ya CCM(kwa mtazamo wako), lakini wakafanya vizuri sana sana kwenye taasisi ya CHADEMA, ambayo ndivyo haswa itakavyokuwa baada ya kuchaguliwa tarehe 25/10

Kwa hiyo unataka kuniambia hakuna umuhimu wa viongozi kuongoza taasisi? Au nini umuhimu wa kuwa na viongozi wakubwa hao. Tena washauri wa Rais katika masuala yote ya uendeshaji wa serikali! ? Tuanzie hapo
 
Binti Magufuli, sasa tuna miaka 54 ya Uhuru. Ni vyama vingapi vimebadilishana kutawala Tanzania?

Vv
Mkuu hili lililopost hapa ni juha at his/her best, and of course yanapatikana CCM pekee, huwezi tetea CCM halafu uwe na akili timamu, msamehe bure
 
Of course no one is clean here,I didn't say that Lowassa is clean among the bunch but if I have to choose between Lowassa and Dr Magufuli,I will choose Lowassa using the principle of the lesser of two evils. I will choose Lowassa over Dr Magufuli not because Lowassa is flawless and perfect than Dr Magufuli...no my dear...nooo, am simply looking at things in the big picture here,I will prefer Lowassa to Dr Magufuli because I want to see the structural and systematic overhauling taking place in my country. The current system is archaic, rotten, corrupt, dysfunctional, ineffective and bloated to the point that nothing can be done successfully in this once was a great country. The current system gives birth to the corruption,incompetence and complacency among government officials & public servants as well as the prevalence of bureaucratic systems in making very key decisions for the good of our country. Your own party,CCM is against any structural and systematic reforms, if anything the new constitutional reviews is a good example.
This is rubbish! ! I tell you. You need to reason using your brain and nat your buts. Do you want to tell us Lowasa is clean? ? Is ukawa clean? ? This is rubbish, even our ukawa leaders have once denied that no one is clean here! Surely can someone throw a stone to the other to prove his cleanliness? ?!!
So dont influence us by your low thinking arguments. Tanzanians are awake now! Dont ever undervalue their thinking capacity. Never! Over our dead bodies!
 
kwahiyo hatujawahi kutawaliwa na mkoloni kwa vile tunaitwa Tanzania sasa?????kwa minajili hiyo ccm sio chama cha ukombozi kilichoitoa nchi yetu mikononi mwa mkoloni mzungu????

Kwa kuongezea...
Mkapa alipoituita malofa na kwamba ccm ndiyo imeleta ukombozi alikuwa anaongelea chama cha kuogelea au?
Kweli ccm mfa maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom