Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,256
Kwa miaka mingi, bar ndio imekua sehemu yangu ya kupotezea muda pale ambapo hakuna mpira, sijisomei n.k! Kwa miezi kadhaa niliamua kuacha pombe, nikajikuta nikiwa free kuua muda, nikawa naenda kwenye kahawa. Jana ndio niliamua sintokanyaga tena kijiweni, mada zisizo na maana!
Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?
Nyakati ambazo unaamka, huna cha kufanya. Msiotumia pombe, je mnapotezea wapi muda?