fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,408
- 3,828
Hellow wana JF.
Watu wengi wanahofu dhidi ya matangazo mbalimbali yanayo endelea huko mitandaoni kuhusu majanga ya asili yanayoweza kutokea wakati wa mvua za El nino.
Naomba kuwatoa hofu majanga ya Nepal hayawezi kutokea Tanzania.
Pia naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.
However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.