Ni hayo tu wale mnaonitag.
Ni hayo tu wale mnaonitag.
Ni hayo tu wale mnaonitag.
Honestly utakuwa na matatizo ya kisaikolojia. kama kitu huelewi si unapotezea?Mtu anapoku tag maana yake ka value uwepo wako kama rafiki au mchango wako ni wa maana..lkn kila mtu nadhani ana ajenda zake hapa jf hivo kwa wale wanaokutag message sent and delivered
mmmmh no,sina hayo matatizo ila kuna tags mtu unaclick ukifungua aah huna mchango halafu ulipoona notification zimekuchukulia attention.
Hebu tueleze kisa na mkasa mkuu Excellent,maana angalizo lako linatisha mkuu!!
heri we useme labda ataelewa
Hebu tueleze kisa na mkasa mkuu Excellent,maana angalizo lako linatisha mkuu!!