msinione kimya jamani....

teh teh teh!!! nenda kwa wakati ndio sasa mganga wa jadi kutoka ufipa...amekuja na dawa ya kumuweka mpenzi wako kwenye kiganja.
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: hata mi nimenotice kuna wale magwiji wa chitchat ghafla wamepotea...ni kwamba wananyonyesha wako honeymoon au ndio wengine walikua dodoma kwenye uchaguzi wa NEC hata sielewi elewi
 
Kongosho darling niruhusu basi nijibu post za wadau,japo dk 5 plizzz kisha niendelee kukukandamiza!
 
Last edited by a moderator:
Unadhani umeongea?
Bado hujasema ! Na bado , Utatoa siri zako zote !
Kufilisika mchezo, nakuoneaje "uluma"
so far umewekwa kihaus na Konnie unalishwa!
Unaveshwa, na matumbuzi mengine juu ya anaekuelea !
Pole wee BEPARI USED !
Chezeiya Kongosho weiye? Mtoto kafundwa kafundika,toka azaliwe hajawahi kuvaa kufuli,yeye ni kazi tu.
 
Last edited by a moderator:
Si useme tuu umefulia na hela ya net huna
tajiri la kihaya linakosa hata ipad na blackberry na iphone za kukaa hata kitandani unachat huku ukipepewa Bishanga shikamooo

Unanchekesha ( source: FF).
Yaani konnie aamue kukupa mahanjam kisha ukumbuke ipad,kha!
 
Last edited by a moderator:
Si useme tuu umefulia na hela ya net huna
tajiri la kihaya linakosa hata ipad na blackberry na iphone za kukaa hata kitandani unachat huku ukipepewa Bishanga shikamooo

Nini ipad,bishanga ni sheaholda Apple inc,tatizo sio vitendea kazi tatizo kubanwa kinyumba !
 
Last edited by a moderator:
hilo bepari la kihaya halina lolote., tangu litoke mwanza participation yake hapa jf ni "O" nafahamu mengi yalomsibu huku. ngoja nimlie time kwanza. asiponi-airtel money namchana makavu live. shaurilo Bishanga. . .

CL na wewe umeanza lini tabia za vijana wa yuvisisiem?
 
Last edited by a moderator:
Zee Jongo hili....Loooooo

Halafu we Zinduna wewe,tangia nimekosakosa kukubaka siku ile kwenye shoo ya 'laki si pesa' naona hujapitia tena anga zangu,hujambo lakini? Nakumiss dia.
 
Last edited by a moderator:
Huyu hana lolote, tangu aende kuchukua majibu hainekani sana huku, nadhani bado yupo kwenye madarasa ya ushauri nasaha, lol!

FP unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…