The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,550
- 20,344
Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA.
Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi sana kwenye rasilimali za taifa.
Tuje Awamu ya Samia matukio ya kuuza nchi yanatisha, Ufisadi umetamalaki nchi inanuka Rushwa TAKUKURU hawana meno maendeleo yanasuasua. Uongozi unanunuliwa.
Hadi najiuliza hawa walio apa kuilinda nchi wanalinda nini au na wao wameshajiunga na kuwa sehemu ya wansiasa wafujaji wa rasilimali zetu
Kama na vyombo vya ulinzi na usalama navyo vimetekwa na mafisadi basi tumeshakwisha dalili zote zinaonyesha hivyo.
Hii video hapa chini ilitakiwa kumwondoa Samia madarakani siyo hiyohiyo maajabu ni kwamba anaendelea.