Msimuonee Kiongozi Wetu Kisa Mnamuabudu Shetani!

Msimuonee Kiongozi Wetu Kisa Mnamuabudu Shetani!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,206
Reaction score
25,399
Naam...
20250605_190551.jpg


Kiongozi wao wa kidini anamtumikia shetani, wasimuingize kiongozi wetu wa kisiasa hapa ndg zangu.

Nje ya box.
Kuna kauli inatapanywa nchi nzima No Reform No Election.

Naqnaza kuamini mwaka huu No Election, kwa sababu hiki kinachoendelea unadhani raia gani ataenda kupiga kura?.

Hata kama tayari CCM kimeshajitangazia ushindi mnamo October ila watakaoemda kupiga kura nina uhakika ha 6mil hawafiki.

Nchi imepigwa unyonyo moaka upupu haufanyi kazi, sasa ni mwendo wa mabango akihusishwa mwenyaazi Mungu anayeabudiwa nasi.

No Reform No Election siyo lazima kuzuia barabarani ila wananchi hawa hawa siendi kupiga kura.

Mtajaza ballot 🗳️ fake na mtahesabu kuonyesha wafadhiri na mtaapa kwa msaafu mkono juu ila nafsi inakuchoma kwa uongo.
 
Ni uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea hata kama wale watahamasishana wakapige kura ili wapata ushindi utakuwa ni ushindi feki!
 
Ni uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea hata kama wale watahamasishana wakapige kura ili wapata ushindi utakuwa ni ushindi feki!
Hebu chukulia hili hapa;
SOKA, MDUDE hawa jamaa unadhani ukoo wao wote wataenda kupiga kura kwa sababu zipi?.

Na hata wakienda unadhani ccm wana chao hapo?.
 
Back
Top Bottom