Msimjaribu Zitto, mtaumia!

mkuu zomba kama unadhani zitto atasapoti unachoongelea ni vizuri zaidi ukamshawishi aanzhishe chama chake.awe mwenyekiti then 2015 agombee uraisi.naona shida yako na wachache wengine ni zitto kuwa mwenyekiti wa chadema.unadhani ni zitto tu ndani ya cdm mwenye uwezo wa kuwa mwenyekiti?kama watu wengine wapenzi w a tundulissu au mnyika au slaa nk wangetaka kila wanaomshabikia kuwa mwenyekiti chadema ingeishia wapi?kama ni supporter wa zitto ni vizuri kusapoti nafasi yake aliyeko sasa na sio kuingilia maamuzi ya chama ya kupanga uingozi.unaona jinsi viongozi wengine wanavyozunguka nchi nzima kuimarisha chama na kukijenga lakini huoni umuhimu wao.unachotaka ni zitto awe mwenyekiti na uimarishaji wa chama wafanye wengine.una laana wewe.be blessed!
 

Soma vizuri post yangu. Unaonesha hujaielewa hata chembe.
 
Mataahira mliojazana ccm ndio mmekifikisha chama hapo kilipo

Vilaza mmezidi kuifuatilia cdm......jengeni lichama lenu linakufa taratibu........mmekazana kuzima moto nyumba ya jirani wakati kwenu kunateketea!

We zomba pilipili usiyoila yakuwashia nini?
 
Last edited by a moderator:

Umbea hauna posho.ZITO CAN'T Return to such weak propaganda.
 

Wewe ndio walewale, huna jipya. Zitto for President 2015.
 
Wewe ni msemaji wa Zitto Kabwe? mbona mwenywe hajasema haya!
Mkuu Kilembwe, kumbe humjui Zoba! hapa anataka kuwagombanisha wana CHADEMA kwa fitina zake za udini. Hapo anataka kutumia uislam wa mh. Zito kwa manufaa yake. Zoba ni mtu wa kuogopwa sana. Tangu lini gamba kama yeye akajifanya msemaji wa mh.Zito?
 
Wewe ndio walewale, huna jipya. Zitto for President 2015.


Unachekesha walionuna ujue.......unajipendekeza kwa Zitto unadhani na yeye atakupa posho kama Nape?.......wewe unatangaza kama nani??????....unaacha kufanya yanayokuhusu unafanya yasokuhusu .......hapo ulipo ya kwako yashakushinda afu unajibebesha ya Chadema utayaweza?......watu kama wewe ndio wanaochangia kudidimiza uchumi wa nchi manake kutwa kushabikia visivyo vya maendeleo!.......fanya kazi kwa maendeleo yako na ya nchi yako......umbea hautakusaidia chochote.
 
Bado u mdogo sana kuelewa kuwa kura za chama kimoja hazimpeleki mtu Ikulu kwenye siasa za vyama vingi.
Ila kura za waislam wa Zanzibar zitasaidia kuwakomboa dhidi ya watanganyika au vipi?
 
Unaibu katibu mkuu anautumikia....unajua alikwenda washington kama nani?
Na kuhusu suala la kwenda Ikulu....unajua Zitto aliandika nini hapa jamii forums baada ya msiba wa REGIA,na mchango wake kwenye kikao.
Kuhusu Shibuda,Majimbo yote ya maswa walichagua chadema,including majimbo jirani ya meatu na bukombe.
Mwisho,kwa katiba yetu inavyojieleza Zitto hajaqualify kugombea urais 2015.....sasa unapoforce apewe nafasi ni kwa katiba gani au katiba mpya unayo uvunguni?
Dont waste time to discuss the unknown.
 
Hivi huyu ZOMBA si rafikiye wa karibu na MALARIASUGU?
 
Kwani yote yanayosemwa humu wanayasema wenyewe? Haya ni yangu mimi, si ya mwengine. Nna kila sababu za kuchambuwa wana siasa kadri ya uwezo wangu.

Kama ni umekula maharage ya gengeni ukavimbiwa siyo uanze kupumua hovyo kwenye hadhara ya watu, jipumulie mwenyewe ndani ya shuka.

Kama ni yako mwenyewe huna haki ya kuchanganya na wengine-hofyo kabisa!
 
Kama ni umekula maharage ya gengeni ukavimbiwa siyo uanze kupumua hovyo kwenye hadhara ya watu, jipumulie mwenyewe ndani ya shuka.

Kama ni yako mwenyewe huna haki ya kuchanganya na wengine-hofyo kabisa!

Naona hujui hata maana ya mitandao ya kijamii. Nani mwenye haki ya kuwa source zaidi ya mleta habari? Hovyooo!
 

Wewe ndio unaijuwa hiyo katiba zaidi ya Zitto?
 
Ila kura za waislam wa Zanzibar zitasaidia kuwakomboa dhidi ya watanganyika au vipi?

Hizo za "mpaka kieleweke"> muulize Mheshimiwa Tundu Lissu, msemaji mkuu wa chadema.
 

Mie nilisoma mahala akinukuliwa Zitto anasema kuwa atagombea Urais 2015 na mimi namuunga mkono kuanzia mapema. Vipi hupendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…