Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,661
3,233
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo;

1) Ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.

2) Ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka CCM na kuteuliwa kuwa mgombea urais.

3) Ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao.

4) Ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka CCM kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?

5) Ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka CCM wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka CCM.

6) Makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa CCM ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?

Tafakari chukua hatua haraka !!
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

Nenda Lumumba kachukue posho yako watu hawana muda wa kusikiliza ngonjera zako
 
Safi sana kamanda kwa kujitambua, hata mimi ni chadema siwezi kuuza utu wangu kisa feza anazotoa mzee lowasa. Nipo pamoja na Dr SLAA
 
Nenda Lumumba kachukue posho yako watu hawana muda wa kusikiliza ngonjera zako
Utakuwa na mtindio wa ubongo kiukweli kama mambo ya msingi kama haya utayadharau halaf unataka kutawala nchi. Utatawaje? ??? Kama siyo hekaya za abunuwasi. Mwanasiasa lazima tuone uhalisia wa anachoongea na jambo analotaka kulisimamia.
Mfano Mchungaji Msigwa alisema "atakayemuunga mkono Lowasa anatakiwa akapimwe akili" leo hii amelamba matapishi yake hivihivi.wanasiasa hawa wanataka kutupeleka wapi? ?? Nauliza
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

Pamoja kamanda tuko pamoja katika hilo.
 
Eti Chadema asilia wakati kila siku unapost upande Wa CCM ,mshiyuuuuuuuuu*
 
Unapoona mtu anadhubutu kunyanyua mdomo wake huku akimsifu lowasa kua nikamanda na akimtuhumu dr.slaa kua ametumwa na CCM mtu huyo muangalie kwa jicho la tatu. Watu wanahoji vitu vya msingi wewe unakuja na tuhuma zako ambazo hazina hata kamshiko. Lowasa amewalisha nini nyinyi? lowasa shida yake yeye awe rais na sio kutatua kero za watanzania kamaanavyo jinasibu kwenye majukwaa. Angekua ana nia ya kutatua asingetuibia kias hicho. Kama lowasa alikua anaona CCM, mfumo wake ni mbaya na hakuna demokrasia kwanini walichukua fomu ya urais? watanzania ifike mahali tuziache akili zetu zifanye kazi natupunguze mihemko ya vyama vya siasa "Politician ain't humanitarian" tunakazi ya kuijenga Tanzania yetu. Epuka matapeli
 
Wapinga mabadiliko wote bora mfe kabla ya 25 octoba,Ili mtupishe wenye akili tuing'oe ccm madarakani.
 
Inauma lakini hakuna namna, Chadema tulikipenda ila mafisadi wamekipenda zaidi.

Ila naamini baada ya Octoba 25 itafahamika tu.
 
Wana jf
Nikiwa kama mkereketwa na mfuasi wa Dr Slaa nazidi kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chadema asilia kufuata na kuenzi mawazo ya kamanda wetu wa ukweli ambaye tunapaswakujiuliza yafuatayo
1) ni kwa nini mchakato wa kutafuta mgombea urais haukufuatwa kama ilivyokuwa imepangwa.
2) ni kwa nini mtu amechukua takribani wiki 2 tu tangu alipohamia kutoka ccm na kuteuliwa kuwa mgombea urais
3) ni kwa nini viongozi waandamizi makamanda walitupwa nje hivihivi bila kuthamini michango yao
4) ni kwa nini yule fisadi mkuu kutoka ccm kama mlivyokuwa mnatuhubiria na kupitia magazeti ya mwanahalisi pia tuliamua kumkumbatia. Ni nani alimsafisha ?
5) ni kwa nini viongozi wetu mliamua kuwachukua makapi yote kutoka ccm wakati mliapa hamtachukua tena makapi kutoka ccm.
6) makamanda mnazungumzia mfumo gani huu wa ccm ambao ni mbaya na ukilinganisha na limfumo baya zaidi kupita yote niliyotaja hapo juu. Tunaweka misingi gani ya utawala bora ?????
Tafakari chukua hatua haraka !!

Kwa hiyo umemfuata huko Marekani aliko? Dr. Slaa ameondoka Chadema. wafuasi wake wa kweli hatutegemei wawe Chadema muda huu. Hata hivyo nafahamu wewe ni gamba tu, nenda kwa January Makamba na Nape mpange mikakati ya kukinusuru chama.
 
Back
Top Bottom