Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,081
- 143,242
oooooh!! huo ndio msimamo wako! ok nimekuelewa, ila ule ndio wangu
Hapana, huo siyo msimamo wangu. Huo ni mtazamo wangu.
Msimamo wangu huujui na wala huuelewi.
Let's get that straight!