hahaaaaa!! tatizo watu hawapendi ukweli, wanataka uwadanganye tuuu basi roho zao burudaniiiii
Mbona Hotelini tunatoa ''Keep change''. Haijalishia natimiza wajibu wangu au la. Mapenzi ni suala lenye kugusa HISIA, ndio maana ukipongezwa na La-azizi, asali wa moyo au kwa lugha ya leo BABY unaona raha na faraja kubwa kuliko hata mzazi wako.
Unaogopa nini mrembo?nawakati masharti umeweka wewe mwenyewe action speak louder nyambisi
Hapo chacha,ni shiiiiida!duuuh!!! hiviiiiii debe tupu huwa linaacha kulia kweli!!! nikumbusheni nimesahau
mimba kitu gani wew huwa mnawakomesha watoto wadogo lakin kwa anaejijua mwenyew hawezi kupata mimba ya kushtukiza hata siku moja
Wewe karatasi ya talaka atakuwa ndo rafiki yako kama mi ndo mumeo karatasi ya taraka naweka kwenye mfuko wa shat kama refa mchezeshaji mpira na kipyenga mdomon ni kupuliza filimbi nakukupa red card ya mapenz utashka adabu
Mimba itaingia bila wewe kujijua hata kwa njia ya haja kubwa itaingia full stop!
mbona mtoa mada hajamtukana mtu!! hebu leteni hoja hapa vingreza vya nini
kuna ukweli gani hapo we ngedere..!!?
ee hapa hatutaki matusi. tetea hoja kwa hoja...huo ndio uanaume
we tumboo acha kutia ndimu ntakuchapa
nitetee taarabu,!! maandiko ya kwenye kanga.
hata ubinuke sarakasi, huo ndio msimamo