Msimamo wangu

Nenda SIDO uwaambie wakutengeneze mwanaume wa desgn hyo manake sizan kama kuna mwanamke atakae kaa na manz mbinafsi hvyoo
 
Nenda SIDO uwaambie wakutengeneze mwanaume wa desgn hyo manake sizan kama kuna mwanamke atakae kaa na manz mbinafsi hvyoo
Oooh kumbe!!
Basi haujaufahamu ulimwengu vizuri kido.
 
UBINAFSI GANI LAKINI?? hivi kwenye kuzaa mnawasaidia wanawake. ebu hiyo role yenu muitekeleze kikamilifu acheni kulia lia
 
So unauza sh ngapi? Maana nyie wauzaji kila mtu ana bei yake kulingana na mahali anapouzia...
 
wewe huna kitu kichwani pole sana na hujui maana ya ndoa
 
Good! Nimekupenda ghafla mdada!!wanaume hawajui maana ya wao kuwa wanaume!
Anataka umsaidie majukumu yake ila yako hakusaidii, wapambane na uanaume wao.
 
Unajua haijalishi kwamba kaolewa ama yuko peke yake, yeye kaweka bayana kwamba huo ndio msimamo wake.
Unaweza kuwa msimamo theoretically, katika practical ikawa tofauti mkuu. I didn't mean to ambush her, ila mara nyingi tunakuwa na stance zetu kabla ya kukutana na other half, tukiingia huko mambo yakawa tofauti kabisa.

I understand, ni msimamo wake kinadharia, je kuihalisia ameweza?
 
Nakuelewa sana mheshimiwa, ndio maana nikasema kuna maisha ndani ya JF na maisha ya uhalisia.
Lakini mwisho wa yote, wanaume tusimame kwenye nafasi zetu ila huyu dada nae ameweka msimamo mkali sana.
 
Nakuelewa sana mheshimiwa, ndio maana nikasema kuna maisha ndani ya JF na maisha ya uhalisia.
Lakini mwisho wa yote, wanaume tusimame kwenye nafasi zetu ila huyu dada nae ameweka msimamo mkali sana.
So long anayeishi nae hana tatizo (anaweza kuubeba huo msalaba) sisi ni nani tuanze kunyoosha vidole.
 
So long anayeishi nae hana tatizo (anaweza kuubeba huo msalaba) sisi ni nani tuanze kunyoosha vidole.

Naamini hata wewe ulikua au una misimamo yako ambayo kwa hiyo, unaishi na mama watoto au mtarajiwa mkuu.
Lakini waswahili wanasema "...if you can't get what you like, like what you get" hahahahaaaaa
 
Naamini hata wewe ulikua au una misimamo yako ambayo kwa hiyo, unaishi na mama watoto au mtarajiwa mkuu.
Lakini waswahili wanasema "...if you can't get what you like, like what you get" hahahahaaaaa
Kweli kabisa mkuu.
 
tusingezisikia familia tajiri kama rothchild na rockerfeller wangeoa wake kama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…