Msimamo wangu

Msimamo wangu

Hapo kwenye bold ndiyo ile kitu nzuri umesema sasa. simameni kwenye nafasi zenu. tunapoelekea heshima kwenu itapotea ....heshima ya mwanaume ni ku-PROVIDE (yaani labda uhurumiwe tena kwa kumweleza mwenzako sababu ya maana na isiwe mazoea) Jitumeni muweke heshima majumbani...nyie vipi? vipisi siyo?? hahahahhaha

Ikija kwenye kutimiza majukumu yangu, sihitaji msaidizi wala utetezi. Natekeleza wajibu wangu kama mume. Wife ana kazi yake lakini bado nampa pesa ya mambo ya nyumbani kana kwamba hana kipato.

Kazi yake kuangalia familia na kuzaaa, kama ilivyoandikwa kwenye Biblia. Mimi ni kula kwa jasho. Mengine mbwembwe tu!
 
Rafiki nina maswali ujue?
 
Back
Top Bottom