So long anayeishi nae hana tatizo (anaweza kuubeba huo msalaba) sisi ni nani tuanze kunyoosha vidole.
Naamini hata wewe ulikua au una misimamo yako ambayo kwa hiyo, unaishi na mama watoto au mtarajiwa mkuu.
Lakini waswahili wanasema "...if you can't get what you like, like what you get" hahahahaaaaa
Ila hujajibu maswali yangu, i like to get answered whenever I raise something.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mmenifurahisha jinsi mna maswali na majibu moja kwa moja.
I like the way you two reason.

Ila hujajibu maswali yangu, i like to get answered whenever I raise something.
» Bado msimamo upo pale pale?
» Ulivyokutana na other half, kuna compromises zozote uliridhia? Samaritan hapo amesema, u get what you like, if not then just like what you get. Hilo vipi kwako?![]()
hahahhahahahahBehind every successfull man there is a womana called "mother".
And behind every successfull woman there is herself.
Kakutumia m - pesa au anakuchatisha tu?Heaven Sent unauliziwa huku my beloved dota.
Hapo kwenye bold ndiyo ile kitu nzuri umesema sasa. simameni kwenye nafasi zenu. tunapoelekea heshima kwenu itapotea ....heshima ya mwanaume ni ku-PROVIDE (yaani labda uhurumiwe tena kwa kumweleza mwenzako sababu ya maana na isiwe mazoea) Jitumeni muweke heshima majumbani...nyie vipi? vipisi siyo?? hahahahhahaNakuelewa sana mheshimiwa, ndio maana nikasema kuna maisha ndani ya JF na maisha ya uhalisia.
Lakini mwisho wa yote, wanaume tusimame kwenye nafasi zetu ila huyu dada nae ameweka msimamo mkali sana.
Haahhaaaa!! Ex darling kwani hii ni interview?Ila hujajibu maswali yangu, i like to get answered whenever I raise something.
» Bado msimamo upo pale pale?
» Ulivyokutana na other half, kuna compromises zozote uliridhia? Samaritan hapo amesema, u get what you like, if not then just like what you get. Hilo vipi kwako?![]()
Amen!Hapo kwenye bold ndiyo ile kitu nzuri umesema sasa. simameni kwenye nafasi zenu. tunapoelekea heshima kwenu itapotea ....heshima ya mwanaume ni ku-PROVIDE (yaani labda uhurumiwe tena kwa kumweleza mwenzako sababu ya maana na isiwe mazoea) Jitumeni muweke heshima majumbani...nyie vipi? vipisi siyo?? hahahahhaha
Kabisa mkuu, si kila mwanamke wa kuoa, wengine wanabakia kuwa punching bag tu... Sehemu ya kujifunzia.Mungu atuepushe na wanawake kama hawa.
Behind every successfull man there is a woman called "mother".
And behind every successfull woman there is herself.