Msimamo wangu

Msimamo wangu

Ha ha ni shider kwa wanaume wa sasa ivi wasipopewa masharti kwenye counter book lazima ile kwako maana watakuonea lazima bora kukomaa naye na masharti magumu kuliko ya world bank ili wawe kwenye mstari

waambie mama maana wanajitoa sana akili hawa
 
haina mahusiano kabisaaa, changu changu, chake chetu

Siwezi kuchangia hoja kama hii bila kutaja umri wako, kila akili zina umri wake.

Tafute ile thread usome kuhusu mapenzi na umri itakusaidia na ndio utajuwa kwa nini kina Maddam Ritta na Shyrose banji wanakojoreshwa na vijana na pesa wanatoa.

Foolish age inakusumbuwa au hii ni copy and paste ya kutoka kwenye viblog.
 
naafikiana na yote lakini swala la ndugu nakataa.,ki ukweli usijitenge na ndugu maana pesa zinaishaga,unaeza ukashangaa mnaanza kuwaomba hao hao ndugu SI VYEMA KUJITENGA MATATIZO HUTOKEA
kingine PUNGUZA UBINAFSI ITAKUKOST
 
tatizo ni pale wanapojitia kuzipangia majukumu km wanazitafuta wao, wanasahau kuwa wao ni washauri tu
 
Siwezi kuchangia hoja kama hii bila kutaja umri wako, kila akili zina umri wake.

Tafute ile thread usome kuhusu mapenzi na umri itakusaidia na ndio utajuwa kwa nini kina Maddam Ritta na Shyrose banji wanakojoreshwa na vijana na pesa wanatoa.

Foolish age inakusumbuwa au hii ni copy and paste ya kutoka kwenye viblog.

wabahiri utawajua tu, sababu kibaooo, hata hivyo huo pia ni mchango tosha
 
Siwezi kuchangia hoja kama hii bila kutaja umri wako, kila akili zina umri wake.

Tafute ile thread usome kuhusu mapenzi na umri itakusaidia na ndio utajuwa kwa nini kina Maddam Ritta na Shyrose banji wanakojoreshwa na vijana na pesa wanatoa.

Foolish age inakusumbuwa au hii ni copy and paste ya kutoka kwenye viblog.
Mwambie aelewe!
 
utakuwa sio mzima.. all in all hiyo tabia utakuwa umeirithi kwa mama ako, ukatili aliokuwa anamfanyia babaako
 
Yaani ktk hili wanaume utawajua tuuu..sababu hizo kauliii mmmhh mmepatikanaa. Mmekuwa wadogooo zaidi ya piriton

Ila anayoyaongea yapo sanaaa, msimtukane ila ndio pakujifunzia kuwa kuna wanawake wa hivyo. Pengine yeye hata hayuko hivyo ila labda rafikiye ndio yupo hivi ameamua kumuwakilisha kwa jamii mtu km huyu. Wapo sana hawa ktk jamii wanawake wenye ubinafsi hivi. Mwanaume ni wakati wako kujifunza ukiona mwanamke wa hivi.

as long as am a woman na akaona namfaa thats all counts
 
utakuwa sio mzima.. all in all hiyo tabia utakuwa umeirithi kwa mama ako, ukatili aliokuwa anamfanyia babaako

ooops!!! umekula chakula gani leo?? ucwe unakula mpaka unavimbiwa usiku, unaona madhara yake sasa!
 
Hujapata anaejua MAPENZI, utashangaa unabomoa ''kibubu'' chako na kilichomo unamkabidhi. Nakukumbusha wimbo wa Bi Kidude.
''Mhogo wa Jang'ombee, utaulamba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo.''
 
Yaani ktk hili wanaume utawajua tuuu..sababu hizo kauliii mmmhh mmepatikanaa. Mmekuwa wadogooo zaidi ya piriton

Ila anayoyaongea yapo sanaaa, msimtukane ila ndio pakujifunzia kuwa kuna wanawake wa hivyo. Pengine yeye hata hayuko hivyo ila labda rafikiye ndio yupo hivi ameamua kumuwakilisha kwa jamii mtu km huyu. Wapo sana hawa ktk jamii wanawake wenye ubinafsi hivi

hahaaaaa!! tatizo watu hawapendi ukweli, wanataka uwadanganye tuuu basi roho zao burudaniiiii
 
Back
Top Bottom