MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Siufahamu, naufahamu wa binadamu tu.
hahahaha nachejka huku naongea na simu taftrani tupu wewe jaman hahaha nikajua ushkuwa nguruwe na umeenda labor ya nguruwe hehehhe
Siufahamu, naufahamu wa binadamu tu.
Ooooh Hongera sana sikujua hilo ila mie nilikuwa nazungumzia idadi zaid na sio Uchungu wa kuzaa in suchNiutafute ili iweje wakati mimi sio nguruwe? Kumbuka am a mother kwahiyo huo uchungu naufahamu bonny.
We endelea na field tu mkuu.ungekuwa karbu ungefnya field nyumbn kwangu ili uone kma unaweza kwa vitendo man mm nnahtaj mwanamke wa aina yako ili nkishndwa wanaume wajfunze kuptia mm kwa tabia zako na ww ukishndwa bad wanawke pia wajfunze kuptia ww kushndwa,, nkupe contact!!!
Nakumbuka huu uzi ulisababisha mtu kwa hasira anifuate pm na kunitukana sana, nilicheka sana ni jinsi gani watu wanaichukulia jf serious!!!
Idadi ninapanga mimi in case you didnt know.Ooooh Hongera sana sikujua hilo ila mie nilikuwa nazungumzia idadi zaid na sio Uchungu wa kuzaa in such
Unapanga wewe kwan kaz yako ni nin ndio maana nmequote ule msemo wako wa Nitatafuta kwa Jasho na Utazaa kwa uchungu haina Exclusivity ya kitu chochote hyo sentensiIdadi ninapanga mimi in case you didnt know.
My body my rules you know!!
Kwanza hiyo idadi ya nguruwe unaweza kuilea? Au unafikiria kumkomoa mwanamke unasahau kuwa ni jukumu lako hilo?
Hivi ni kwanini mwanaume akielezea misimamo yake mtu hashangai, tena na kumpongeza atapongezwa. Ila sasa mwanamke nimeongelea misimamo yangu nimetukanwa weee, wengine wakapiga na ramli, wengine kuninunia teh teh teeeh!!mie mwenyewe nimekuelewa!
Its our money our rules.Unapanga wewe kwan kaz yako ni nin ndio maana nmequote ule msemo wako wa Nitatafuta kwa Jasho na Utazaa kwa uchungu haina Exclusivity ya kitu chochote hyo sentensi
Ukianza kupanga hilo Jua hata mie ntapanga kwenye kutafuta kwa Jasho.
If its your body ur rules then its my money my Rules.
Hivi ni kwanini mwanaume akielezea misimamo yake mtu hashangai, tena na kumpongeza atapongezwa. Ila sasa mwanamke nimeongelea misimamo yangu nimetukanwa weee, wengine wakapiga na ramli, wengine kuninunia teh teh teeeh!!
I know wanawake wenye misimamo kama hii na maisha yanasonga tena vizuri tu. Waniwache tu shosti na misimamo yangu.
Ha ha ha ha ha na hata kutafuta kwa Jasho hata laki moja ni kwa Jasho Woman.Its our money our rules.
Kuzaa kwa uchungu hata mmoja anazaliwa kwa uchungu man!
Alafu uzuri ni kuwa uwezo wako ndio utakao determine idadi ya watoto wa kuwa nao, raha sana.
![]()
![]()
![]()
![]()
Wengine sijui niliwagusa as wana wake wa aina yangu, maana sio kwa hasira hizo.
Umemisika sana pia..Kuna pesa hapa zimepotea njia..Toroka uje basiHellow darling, miss you![]()
![]()
![]()