Giambattista Vico
Senior Member
- Apr 3, 2015
- 106
- 24
naona nyota ya kuachika inakunyemelea
Hahahaaaaa!! We nawe mfukunyukuuuu!! Huku umefuata nini sasa?
Anyway bora lkn umeupata ujumbe, sasa uamue kusuka ama kunyoa.
Am humbled you know!
Kila mara nasema wanawake wa humu wako desperate sana na wana sumbuliwa na msongo wa mawazo,wako obsessed na ndoa na pesa. wanawake wa humu wana siffa moja ya kua michepuko tu na si vinginevyo..
maisha yatakurejesha tu mstarini...
Ndoa ni mwalimu asiyelipwa,
Mshahara usioisha,
Kumbukumbu isiyofutika.
Though i am single, ila naheshimu sana ndoa.
Kipilipili acha hizo bwana, acha uoga bwana.Jioe mwenyewe......
Kabla hujajiita kipilipili ulikuwaga nani vile?Jioe mwenyewe......