Umenikumbusha mbali kipindi cha nyuma, niliwahi ku-date na mwanamke mwenye sifa kama ulizotaja hapo juu, aiseee baada ya kumvua PICHU tyuuuu, sikugeuka nyuma tena,....
Sikumkimbia sema Sipo familiar na wanawake wa aina hiyo kabisa, nina Allergy nao, alafu wengi wao japo sio wote ni WACHAGA wakina MANKA na KEKUKwanini ulimkimbia jamani!!! Kinachowaogopesha hapo ni nini labda? Mwanaume hutakiwi kuogopa chochote hapo.
Sikumkimbia sema Sipo familiar na wanawake wa aina hiyo kabisa, nina Allergy nao, alafu wengi wao japo sio wote ni WACHAGA wakina MANKA na KEKU
msimamo wangu
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.
5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.
6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.
7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.
8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.
9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.
Nimemaliza
Acha uoga weweUme data ww
MSIMAMO WANGU
1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.
2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.
3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.
4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.
5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.
6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.
7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.
8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.
9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.
NIMEMALIZA
kila Mwenye vijisenti napita..Wewe kama hutoki na mume wa mtu wewe basi View attachment 268131 kila Mwenye vijisenti napita..
Ahsante mkuu niko poli nazitafuta ili nije town tuzitumbue pamoja
Yaani hivi vivulana vya humu vioga kweli, jambo dogo tu wanapanik hao!!!
Acha uoga wewe
We unahisi tumeutoa wapi?
Kwa wanaume wenu wa Dar...
Ambao hata hawawapi adabu kitandani,
Nadhani shida ni magenge ya chips kuwa mengi kuliko mashamba ya mahindi
Duuuh! Mkuu mie dar naisikia tu na kuiona kwenye tv, hata hao wanaume wa dar nawasikia tu wakitajwa km ww unavyowataja hv!
Ukiwaangalia kwenye Tv huoni wanafanana na unaemlia vyake?..chunguza vizuri hasa mnapogegedana utagundua tu mkuu utagundua nasema utagundua kuwa hakupi kisawasawa kiasi ukawa na adabu kwa wanaume.
Na hata ukikaona kavulana kakitoka shule ukape shikamoo achilia mbali uliodai wako humu Jf.
Wanaume waoga hao hawajiamini na mambo yao, wakiona mwanamke mwenye msimamo wana paniki.Yaani hivi vivulana vya humu vioga kweli, jambo dogo tu wanapanik hao!!!