Msimamo wangu

Msimamo wangu

If thats the case, kwa mawazo yako kwahiyo utazaa watoto wangapi kwa kumkomoa mama yao?? And kumbuka hao watoto wote ni

we hujajuwa wanaume, Kuna wanaume akishaweka kitu mama atajuwa yeye alisheje avike je watoto na mambo mengine.

Hafu MTU kama wewe rahisi kuku contain, pesa yako sikuombi hata kidogo, na wala sihitaji kukuomba wala kukuuliza una sh ngapi.

Kazi yangu inakuwa kula mzigo usiku asbh nikiamka nduki siachi hats sent 5, ñione kama watoto utawashindisha njaa.
Nakuzuga Mara mojamoja na vizawadi zawadi.

Tatizo nyie mkiachwa muwe na pesa nyingi dharau inaongezeka. Nitahakikisha unazitumia pesa zako kwq manufaa ya familia.
 
Bora we we umekuwa muwazi. Wanawake waliowengu huo ndiyo msimamo japo ukweli huo wnaume walio wengi hapendi kuukubali. Viva a to to.

Thats it, kwa wengi kama sio wote sio msimamo ni mtazamo ila kutokana na changamoto za maisha hujikuta wakikubaliana na hali halisi ila deep down ndicho anachowish, wengi hawasemi ila ndicho wanachotamani.
 
If thats the case, kwa mawazo yako kwahiyo utazaa watoto wangapi kwa kumkomoa mama yao?? And kumbuka hao watoto wote ni

we hujajuwa wanaume, Kuna wanaume akishaweka kitu mama atajuwa yeye alisheje avike je watoto na mambo mengine.

Hafu MTU kama wewe rahisi kuku contain, pesa yako sikuombi hata kidogo, na wala sihitaji kukuomba wala kukuuliza una sh ngapi.

Kazi yangu inakuwa kula mzigo usiku asbh nikiamka nduki siachi hats sent 5, ñione kama watoto utawashindisha njaa.
Nakuzuga Mara mojamoja na vizawadi zawadi.

Tatizo nyie mkiachwa muwe na pesa nyingi dharau inaongezeka. Nitahakikisha unazitumia pesa zako kwq manufaa ya familia.

Hahahaaaaa!! Sio mimi kwakweli.
eti unatuacha bila hela ya kula!!! We pia huwajui wanawake vizuri wewe, hela ya chakula utaacha,na utahudumia familia kwakila kitu.
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA
Teh Teh mtani atoto ulishafanikiwa? Mimi msimamo wangu ni kuwa vya mtani ni vyangu!
 
Last edited by a moderator:
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA
Ushaumizwa wewe sasa unachotafuta ni mkataba wa kuishi na mwanaume sio ndoa na mapenzi .
 
Sema tu umechoka kuvuliwa chupi na wanaume tofauti kila kukicha....hivi kwa akili yako, unafikiri kuna mwanaume gani atakayekuoa wewe na tabia hii? Si kila mwanamke inabidi aolewe, kuna wengi wenu dizaini yako wako tu kwa ajili ya kuchafuliwa mavuzi na wanaume tafauti tofauti na kutupwa kuleeee. Pole lakini kwa kuwa bitter.
 
Hahahaaa...nimecheka sana!!
 
Back
Top Bottom