.atoto me nimekupenda bure, kwani huna mdogo mwenye msimamo kama wako?,au nambie kwa Tanzania hii watu wa aina yako wanapatikana mikoa ipi nikajichukulie wangu mapemaaa!!!!!
Kwa bahati mbaya mimi ndio last born na ndio nishaolewa, kuhusu mikoa hebu google kwanza
Jamaa gani?
Angalieni na familia wanazotokea hawa watu.
Huu ni ubinafsi wa hali ya juu.
Afu watu wa hivi hata wengi wao hupigwa p za bureee na kuolewa hawaolewi
Huyu atakuwa machame moja
Mjita huyo.
Hapa nilipitwa.... nadhani nilikua leba.
Angalieni na familia wanazotokea hawa watu.
Huu ni ubinafsi wa hali ya juu.
Afu watu wa hivi hata wengi wao hupigwa p za bureee na kuolewa hawaolewi
Hahaaa leba!