Halafu chunguza utagundua, hao wanaotokwa povu hawajawahi hata kukaa na mwanamke kinyumba japo wiki. Miogaaaa...Hahahaaa! Umeona eeeh, itakuwa kwakweli, umeona wavulana walivyopanik sasa, msimamo wangu na mume wangu ila unawauma wao
Tatizo hiyo misimamo yao hawaweki wazi kwa hao wahusika wanafanya kisirisiri,hivi mwanamke anayetaka mshahara wangu hataki wake nijue unaenda wapi kwanini nisimtimue
Hahahaaaaa! Hili nalo ni janga, hv kweli mwanaume unaulizia kabisa mshahara wa mkeo tena umeukomaliaaaa!!! Labda km alikuoa
Halafu chunguza utagundua, hao wanaotokwa povu hawajawahi hata kukaa na mwanamke kinyumba japo wiki. Miogaaaa...
Wenye wake wanaelewa.
Lazima kujua Kama tunaishi nyumba moja,hayo mambo wanawake wa kiafrica ndo wanafanya ila wanawake wa kizungu kila moja anawajibika kwenye familia,Kama mshahara wako hauna faida kwenye familia lazima uamue moja kuacha kazi au kwenda kwenu
Kamuombe mume wangu, alafu utarudisha feedback
Kabisaaa, na sie wenye waume tunaelewa kwahiyo walaa haitupi kazi, kweli nimeamini wavulana wanaogopa challenge, kitu kidogo tu wanapaniki hatari, yanawatoka hadi ya akiba
Acha uvivu, saka pesa hudumia familia fully, kutegemea mshahara wa mkeo ni uvivu wa kufikiri, akiamua kusaidia basi ni bonus tu, sio ndio uukomalie
Lazima kujua Kama tunaishi nyumba moja,hayo mambo wanawake wa kiafrica ndo wanafanya ila wanawake wa kizungu kila moja anawajibika kwenye familia,Kama mshahara wako hauna faida kwenye familia lazima uamue moja kuacha kazi au kwenda kwenu
Wewe hujaoa wewe. Wabaume wenzio wangapi wanakuja huku kulalamika hawajui vipato vya wake zao? Unadhani huwa wanathubutu kuuliza kwa wake zao?
Wanakuja huku ili kutafuta amani, wanapima kama ni wao tu ndio hawajui au kuna wengine?
Nani kakuambia sina pesa,sijaoa na nishafanikiwa,ila kuhusu mke wangu lazima nimfuatilie nataka kujua hela zake si kwamba nazihitaji