nikifika 80 eti!! hata hayo macho yatakuwa yanaona vzr tena kweli!!
Nlijua tu huu uzi utafika page 20
baby ake mbona sielewi hapa
Nani anakudanganya bebi ake..mtaje mara moja maana naona kuwa kwangu shamba kunaketa shida....
Rahisi Sana kusema Hayo yote shosti lakini ukitaka kujua utamu wa ngoma uingie ucheze... Nakuombea mungu akupe mume mwenye kheir na masikizano .....🙏Ameen .
Unataka kututukana??
nimesahau, hebu ngoja kwanza nifikirie nitakujibu
eti eeeh!!
now nimekumbuka, muafrika
eti eeh!! au huwa wananishangaa sasa wanaishia kuzuga kwa kunipa hi!!!
hahaha kumbe muafrika mwenzangu. okay ni hiviiihii misimamo tulikuwa nayo zaidi ya hii ila in real life mambo yako tofauti sana. ukikomaa nayo waweza ishia kwenye usingle mother au ukibahatika sana kwenye talaka.