Msimamo wangu


Vibinti vipenda hela vizuri sana. Unajimegea utakavyo then unatupa kule. Kenyewe kanajua kamekukimoa kumbe we umetumia chenji ya rada.

Hapa ndo napompendea Liyumba.
 


yangu iko thabitiiii na msimamo juu
 
kutokufahamiana kwa sura hapa kuna tugharimu sana..

Mkuu hapo umesema jambo, utakuta mtu hoehae kila siku anachomwa na jua, na mvua yake...kifupi hajafikia viwango kabisaaaa, ni mtu ambae hutakuja maishani muwe na mahusiano yoyote ya karibu...

Unapokaa yeye hawezi kutia mguu, unapofanya manunuzi yeye hawezi kushop huko..halafu ndio wa kwanza kutoa masharti kwa watu.???
 
Vibinti vipenda hela vizuri sana. Unajimegea utakavyo then unatupa kule. Kenyewe kanajua kamekukimoa kumbe we umetumia chenji ya rada.

Hapa ndo napompendea Liyumba.


tunatumiana
 

hivi kumbe eeh!!! sasa mbona kila cku nakuona unavyohangaika maana wewe ndio unanibebeaga mboga zangu kwa mkokoteni wako kutoka sokoni
 
Halafu kutwa kucha kulalamikia yafuatayo...
1. wazuri hamuolewi
2. Amenichezea na kunipotezea muda
3. Ananipa kila kitu lakini hanipendi
4. Yaani nipo pale kwa sababu ya watoto tu
5. .....


mie walishanitoa huko nimewekwa kwenye kundi la mbuta nanga, so hili halinihusu
 
Wadada wengi katika umri fulani huwa na mtizamo na "msimamo" kama wako. Sio kitu cha ajabu kwa binti wa 20-25yrs kufikiri kama wewe, i'd put you in that age group. Lakini ubinafsi huo unakuwa na mwisho au msimamo kupungua na vigezo kushushwa. Hamna mwanamke asiyependa kufanyiwa na mumewe vile unavyosema, lakini katika reality ni asilimia ndogo sana wanapata toka kwa waume zao (hapa siongelei vibuzi).

Jaribu kupunguza ubinafsi, maisha ni kushirikishana, kusaidiana pale mmoja anaposhindwa, kupeana n.k...!
 

You simply ----ing rude and and act as animal
 
wamachame wapi wanawake wengi wanamtazamo huu sema wengine wanaogopa tu kusema waziwazi wataoneka magold digger.

waambie mama, ila mioyo yao inakubali
 

changu changu, chake chetu
 
You simply ----ing rude and and act as animal

noooo!!! huu ni ukweli mchungu, japo mtabisha na kutetea ila hivi ndivyo inapaswa kuwa na wanawake wengi hutamani iwe hivi ila wanaishia unafiki huku roho zikiwauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…