Msimamo wangu ndani ya Chama


Mkuu huyo Bibi ni kama amechanganyikiwa...Fuatilia mada zake ni kama punguani vile...
 
rosemarie

Na wewe ni mpumbavu, una gubu sana. Sijui ndio ulokole wako wa kuunga unga? Molemo amekulipua kama mngemalizana kule kule sio kuja kujaza server kwa mikamasi yako kama hii. Mpuuzi sana wewe

Mlokole mnafiki huyu...

Kumbe kalipuliwa anakuja kulialia huku....Huyu ni wakufukuza chamani kabisa....

Harufu ya Kina Juliana shonza kumbe bado ipo..
 
na wewe unawakilisha chama hapa jukwaani?hapani siyo chama changu unakurupuka sana

Chama kinatakiwa kukushuhulikia mapema sana...Unapaswa kufukuzwa mara moja...Tabia hii Chafu ya kuja kuleta malalmiko JF badala ya kwenye uongozi wa Chama ndo iliwaponza kina Zitto..
 
kama sikosei jana nilikuambia wewe kama jisemaji la chama lazima uchuje cha kusema ukanikejeli. leo hii gwanda mwenzako amekuanzishia. halafu kama vile haitoshi mko makundi mawili tayari. kitu ambacho sioni kama ni afya hasa kuelekea uchaguzi ujao ambao tunahitaji nguvu ya pamoja kumuondoa mkoloni mweusi madarakani.
nadhani sasa utaelewa nilichokuwa nikikeleza jana kwenye ile utter non sense topic yako ya promotion ya slaa msibani.
njoo tena nikejeli kuwa nimetumwa na lumumba.

 
CHADEMA hatutaki mashabiki wenye tabia za simba na yanga. Kama unamatayizo ya familia kayamalize nyumbani siyo kwa Mc4. badili frika kijana jitambue
 
Tuwekee hoja ambayo imeletwa hapa ikakosa majibu.otherwise naona umevurugwa
 
Ndio tunawafutilia mbali

Hongereni kwa kazi iliyotukuka ya kuwafichua mamluki..

Hiki ni kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu CCm tayari wameshamwaga pesa...Mambo kama haya ya wahuni kama kina rosemarie lazima yatokee na lazima tujiandae na zaidi ya haya....
 
Last edited by a moderator:
Hongereni kwa kazi iliyotukuka ya kuwafichua mamluki..

Hiki ni kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu CCm tayari wameshamwaga pesa...Mambo kama haya ya wahuni kama kina rosemarie lazima yatokee na lazima tujiandae na zaidi ya haya....
Asante sana Kamanda sita acha jukumu langu
 
Last edited by a moderator:
Nimejitahidi kusoma lakini nimetoka kapa.
 
Ni shidaa maana hueleweki kabisa. Labda uandike lugha unayoifahamu zaidi (sijui Kichaga....)utajaza mwenyewe.
 
Waulize ccm wenzako kiboko yao hapa jukwa la siasa ni nani nenda urudi tena
naungana na wewe tu kwa sababu nimechoka kutawaliwa na mkoloni huyu mweusi. ila haibadili ukweli kuwa wewe unatetea tumbo laki. watetezi wataifa hili tuko wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…