Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Ukawa wasiende bungeni tuone km kweli hatahudhuria , Asipoenda kweli atakuwa anasimama na wananchi
 
Huyu jamaa anaizihilishia jamii ya kitanzania kwamba yeye ni msaliti mkubwa ana upande na anaonekana ana ajenda ya siri na Ccm na hii ina onyesha kwamba wapinzani jamani wanacho pigania kwa wananchi wa TZ ni haki Zitto mwenyewe ana kubali lakini asemi duuuh wana JF mnajua ni aibu Kubwa sana kwa huyu kija ameonyesha dhahili shahili kwamba ana njaa yakufamtu eee Mwenyezi Mungu humuremu madhambi yake Amen!!!!
 
Mkuu angalia hapa chini statement yako uliyoiandika mara ya kwanza. angalia hapo kwenye red.
Sasa hapo implication yake nini kamaUkawa haw ataingia Bungeni naye hataingia ama , wewe Umeelewa kinyume ?
 
Haya ni mawazo ya kijana msomi, mzalendo, na asiekuwa mnafiki kama vilivyo vyama vya upinzani vinavyotumia mchakato huu kujijenga kisiasa. Thanks kamanda Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anaizihilishia jamii ya kitanzania kwamba yeye ni msaliti mkubwa ana upande na anaonekana ana ajenda ya siri na Ccm na hii ina onyesha kwamba wapinzani jamani wanacho pigania kwa wananchi wa TZ ni haki Zitto mwenyewe ana kubali lakini asemi duuuh wana JF mnajua ni aibu Kubwa sana kwa huyu kija ameonyesha dhahili shahili kwamba ana njaa yakufamtu eee Mwenyezi Mungu humuremu madhambi yake Amen!!!!

Mbona unambwelambwela na haionekani hoja yako?
 
Mkuu angalia hapa chini statement yako uliyoiandika mara ya kwanza. angalia hapo kwenye red.

ndibalema unapomchukia mtu unamchukia na.lolote lile

alichokionyesha hapo huyo HAKISAWA ni aina ya raia tulio nao, gullible,stupid etc

kwa kauli ya zitto i would think yy ni Ukawa na hayuko against nao

analalamika ukawa kusemwa vibaya

anashauri bunge livunjwe

SIJAONA TATIZO LA KAULI YA ZITTO Hapo

Ndibalema ndio tulipofika hapa na hawa watanzania wenzetu....

sijui tuombe
 
...vipi zzk ile ajenda yako ya kudumu ya posho mbona hujaisema.,teh teh chezeya wasira weye !ukitoka ujerumani kuchukua posho zako huku unawadanganya wenzako wafe njaa hahahaaa...
 
Sasa hapo implication yake nini kamaUkawa haw ataingia Bungeni naye hataingia ama , wewe Umeelewa kinyume ?

Nilivyoelewa mimi ni kwamba msimamo wa kutoingia bungeni ukawa wanao msimamo huwa na Zitto pia kama mjumbe anao msimamo huo bila hata ya kuwa 'memba' wa ukawa.

Inawezekana pia kuna wajumbe wengine ambao sio maarufu wanaweza wakawa na msimamo wa kutoingia bungeni lakini still wasiwe memba wa ukawa.

Mfano, tuliwasikia ukawa wakipinga kutumika lugha ya matusi na kukebei wajumbe, pia tukamsikia mwakilishi wa walemavu katika bunge lile na yeye akipinga matumizi ya lugha za matusi. haikumaanisha kwamba na yule mjumbe ni ukawa just because ametoa msimamo uliosawa na msimamo wa ukawa.
 
Kama hauoni ni wewe wote walewale au na wewe unatoka Kigoma wanao amini kwamba cdm noya Zitto achana na Mawazo potofu Zitto ni msalti
 
Sasa hapo implication yake nini kamaUkawa haw ataingia Bungeni naye hataingia ama , wewe Umeelewa kinyume ?

hapo amesema kama ukawa na ccm hawataelewana yeye hatoingia bungen. usijifanye chizi wewe alaa
 
Kwanza, Mimi sijawahi kuwa UKAWA wala kundi lolote lile katika Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa kundi linalotaka maridhiano. Msimamo wangu kuhusu Muungano ni Serikali Tatu Zilizoboreshwa (S3z) ili kuwa na Muungano imara usio tegemezi wala egemezi kwa Washirika wake.

UKAWA inaundwa na wabunge wa Chadema ,NCCR na CUF , sasa wewe Zitto ni mbunge wa chama gani ? Au posho ndio zinakufanya uwe kinga ganzi kiasi hicho? Jipambanue rasmi sio posho unataka kwa jina la Chadema ila linapokuja suala la maamuzi ya msingi unajiondoa Chadema ......
 
Zitto anacheza na akili za wananchi ataongea vizuri ila matendo yake ni balaa
 
Nilishakushauli zzk hata kabla hujaingia kwenye matatizo na chama chako,hukunisikiliza.Ushauli wangu umo humu jf.Angalia upepo unavyovuma kama mwanasiasa.Nakushauli tena mdogo wangu;Kama ulivyoahidi kama hakuna maridhiano usiende bungeni!Watu watu wengi wasio na sauti lakini wenye kura sawa na walio na sauti wanataka hivyo!
 
Back
Top Bottom