Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

Hata mm sina imani na UKAWA!Muundo wa serikali 3 haijathibitika kama tukipata ndiyo tutaondokana na umaskini huu wa kutisha!

UKAWA wanapoteza nafasi adimu ya kuwapa watz katiba yenye mustakabali wao!Rasimu ya Warioba ina vipengele vingi muhimu vitakavyo badilisha maisha ya Watz zaidi ya serikali tatu wanayotaka tuamini ndiyo tiba ya maisha hoe hae ya Mtz!!

Vipengele muhimu ktk rasimu ya Warioba ni:
(1)Tume huru ya uchaguzi
(2)Bunge tu liwe na uwezo wa kupeleka nchi vitani
(3)Majaji wateuliwe na Rais waidhinishwe na Bunge na Rais asiweze tena kuwafukuza
(4) Kufutwa kwa viti maalum vya Ubunge
(5)Pesa za serikali zidhibitiwe na Bunge sio kama sasa Gavana anaipa serikali pesa yyt wakiomba!Madai tajwa hapo juu yana umuhimu mno kurekebishwa now zaidi hata ya muundo wa serikali yetu uweje!

UKAWA eleweni kuwa katiba ni compromise sio kila kitu mnachotaka mtapewa na sio kila kitu CCM wanachopewa watapata!Wapeni CCM serikali 2 na wao wawapeni madai hayo 5 juu mtakuwa na nafasi nzuri ya kuiondoa CCM mwakani!

Bila Tume huru hamuiondoi CCM kwenye sanduku la kura hata iweje!
CC MwanaDiwani Lizabon ifweero Simiyu Yetu

acha porojo wewe, ikiwa TUNU TU ZA TAIFA MMEZI FUTA ZILIZO CHUNGU KWENU, JEE? VIPENGELE VINGINE JE?
 
Last edited by a moderator:

shikamoo mkuu.
 
Last edited by a moderator:
acha porojo wewe, ikiwa TUNU TU ZA TAIFA MMEZI FUTA ZILIZO CHUNGU KWENU, JEE? VIPENGELE VINGINE JE?
samilakadunda unaongea kama mm vile ni mwana CCM?Hapana unakosea dada mm ni independent sina chama!

Nikiwa independents sitakiwi kutoa msimamo wangu dada Samila?
 
Last edited by a moderator:
=nkongu ndasu;10195843]Lakini alichozungumza ni kweli tupu!

Jamani acheni uwongo wa İbilisi,si jana tu ndo mmefungukiwa dhambi hata siku haijaisha mshaanza,Zitto mnamsingizia,Nijuavyo kuna kikao kinaendea kati ya Zitto+(ccm) na Chadema wamchangie arudishe hela alizokuwa anarushiwa via simu na Kiguru Chemba.Peoples watamchangia tu maana mostly alishapiga tumboni na dada zenu ktk clubs huku Nairobi.
 
Katika hali ya kushangaza mbunge wa Kigoma kaskazini aliyefukuzwa toka Chadema amesema hana imani na umoja wa vyama vya upinzani kama utafika uchaguzi ujao maana si mara ya kwanza upinzani kuungana.

My take: Huyu ana huruma ya mchawi kuombea mgonjwa huku akitaka afe. Zitto anaombea UKAWA wakati anavuta mkwanja kwa Lowassa kubomoa upinzani?

Kaka kwa kukusaidia tu ni kwamba sio zitto tu bali hata wanachadema wenyewe hawana imani. Ila kwakuwa ndoa ya ukawa ni ya mbowe na slaa mnaongelea chini chini. Mie niliwahi ongea na kada wa chadema mmoja hakika alikereka kwa chadema kuungana na chama tawala cuf.
Zitto asichoamini ni kudumu kwa huo umoja kwani vyama vyote vina mitizamo tofauti.
 
Ukawa mimi nawazalau sana hawana cha maana hata kioja wao wanalenga maish yao na familia zao tu.

Hata we ni mganga njaa kama wewe uwe mkweli kama we si wa buku mbili kukesha jamii forum ;;; mim naona ukawa wapo upande wa walala hoi
 
zito mchumia tumbo tu.UKAWA ndo habari ya mjini na mwakani ccm watajambajamba
 
ukawa ni watovu wa nidhamu wamegoma kusikiliza hata viongozi wa dini kurudi bungeni.hawafai kuaminiwa na jamii kabisa
 
ndani ya UKAWA sio viongozi wote wanapenda kugoma ila wamelazimishwa na viongozi wao wa vyama kususia bunge la katiba,wanaendeshwa kama misukule tuu,ndani ya ukawa mbowe,lipumba,mbatia ndio wenye maamuzi ya mwisho huu ni udictactor
 
Zitto anaumia kwa sababu baada ya ukawa hakuna tena stories za Chadema na Zitto na pia kama ukawa ikiimalika mpaka uchaguzi mkuu it is obvious kuwa wapinzani watashinda. Maccm kwa sasa wako kwenye dilemma kwa kuwa wakirudi tar 5 hawawezi kutengeneza katiba ya maccm peke and so katiba bila ukawa haiwezi kupatikana. Na kuamua kuwakubalia ukawa kujadili rasimu wanaona aibu kuwa watawapa sifa ukawa but wanaona pia mchakato ukivunjika itakuwa turufu ya ukawa kwamba hawakuwa na nia dhabiti ya kutuletea katiba na mabilioni ya shs yametumika bila kupata katiba. Hayo yote yatakuwa katika kampeni ya ukawa katika uchaguzi wakiwaambia wananchi kuwa tuchagueni tuwaletee katiba ya wananchi. Zitto upo hapo considering that dini zote zitakuwa nyuma yao ukiangalia matamko yaliyotolewa na maaskofu.
 
UKAWA hawafiki popote mbio za gongo ndio zinawasumbua. UPINZANI wa Tanzania bado sana .CCM itaendelea kushika madaraka kwa mda mref sana. kwa upinzani tulionao huu hatakama wakiungana wote haitatokea kuiondoa CCM hata kidogo ubishe ,utusi usitake ukawa ni mkojo unachafua maji.Mtasingizia CCM wanaiba lakini watu tunaoifaham Tanzania na wananchi wake hatupati headache kwa Mdudu kama ukawa wakati hata rungu inamteketeza.EID njema
 
Katika hali ya kushangaza mbunge wa Kigoma kaskazini aliyefukuzwa toka Chadema amesema hana imani na umoja wa vyama vya upinzani kama utafika uchaguzi ujao maana si mara ya kwanza upinzani kuungana.

My take: Huyu ana huruma ya mchawi kuombea mgonjwa huku akitaka afe. Zitto anaombea UKAWA wakati anavuta mkwanja kwa Lowassa kubomoa upinzani?

Ngumu kumeza lakini ndo ukweli wenyewe huo
 
Nadhani Zitto yuko sahihi hata mimi sina imani na UKAWA. binadamu ni binadamu tu ni vigeugeu wanabadilika haraka sana hasa wenye njaa usishangae watu wanajiondoa wenyewe kwa uroho wa madaraka sema tu Mungu awape hekma na maarifa ya kukubaliana otherwise mpasuko unatunyemelea.
 
Back
Top Bottom