Imethibitika sasa kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Z itto Kabwe(Chadema) ameungana na kundi la wabunge wa BMK wanaotetea msimamo wa maoni ya wananchi yaliyowasilishwa na Mh. Waziri Mkuu mstaafu na Kada wa CCM mh.Joseph,Warioba.
Tofauti na kauli aliyoitoa akihojiwa na moja ya redio inayomilikiwa na kada wa CCM mwishoni mwa mwezi July kuwa "Yeye Hayupo UKAWA, na hajawahi kuwa UKAWA".......Wachambuzi wengi wa mambo wanaona kuwa bado yupo UKAWA kwa hoja zifuatazo;-
1. Wanaukawa wote na wanaomini katika UKAWA wamesusia vikao vyote vya BMK....na Zitto pia
2. Wana UKAWA wote wana amini katika Serikali Tatu na Zitto Pia.
3. Hata kama msimamo wake ni kutaka maridhiano kama wananchi wengi wanavopendekeza, hata wajumbe wa CCM waliowengi akiwemo Mwigulu Nchemba ana msimamo huo na amehudhuria kikao hicho.
4.Kama hayupo UKAWA au pengine kundi lolote kwanini basi maoni yake yafanane sana na ya UKAWA...coincidence? superiority complex?
The great concern remains whether this, once the most influential MP especially among youth from opposition is just testing the political winds so that he could change his mind and rejoins the Tanzania Kwanza is not clear.....but as far as the political situation of the country stands Zitto follows UKAWA ideology.
As it is clearly known that being part of UKAWA does not lie on the question of paper registration but the belief in UKAWA ideology.
Some analysts goes one step further arguing that even Leticia Nyerere (CHADEMA), and Clara(CUF) were also the member of UKAWA, but since they have joined hand with the rulling Party to betray the Wananchi Opinions have Clearly dis-register themselves from the same.
Swali linabaki, kinachomnyima kijana huyo msomi na mwenye ushawishi kutamka tu kuwa anaungana na UKAWA kutetea katiba ya wananchi ni nini, ikizingatiwa kuwa kimtazamo na kimsimamo yupo UKAWA.