minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,647
- 20,382
Basi kwa kuwa wengi wetu tunapiga kelele kwenye hilo azimio moja la Ushoga na mengine tumekaa kimya, inaonesha hayo mengine hayana neno hivyo basi tuachane na hilo la ushoga kisha tufanye hayo mengine 14 kwa kuwa naona kama tunayakubali ndio maana wala hatuyazungumzii kabisa
Wapo wajanja huko CCM wanajidai wapo nyuma ya magufuli kumbe wana ajenda za siri, wapo busy kumjaza hasira na kumchochea zaidi aongeze unyanyasaji kwa Wapinzani ili aendelee kuchokozana na wazungu hali iwe tete ndipo ajenda zao zitimie