Msimamo wa Eric Shigongo kwa maazimio ya bunge la Umoja wa Ulaya(EU)

Dick Monger

Senior Member
Apr 1, 2017
166
235
Nimesoma barua ya maazimio 15 ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Union) kwa serikali yetu ya Tanzania. Maazimio hayo yanabeba masharti magumu kwa sababu kwenye barua yao wanazungumzia ushoga. Lakini pia kuna mambo ya mengine yametajwa kwenye maazimio hayo kama demokrasia na kutetereka kwa Haki za Binadamu.

Tayari Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema kama nchi tutapita kwenye wakati mgumu kidogo kwani tutakosa ushirikiano kutoka kwa wahisani kutokana na msimamo wetu.

Mimi nasimama na rais wetu, Dk. John Pombe Magufuli kuyapinga maazimio hayo kwani inaonesha wazi yamekuja kutokana na msimamo wake thabiti juu ya usimamizi wa rasilimali zetu.

Ndiyo, ni kutokana na msimamo wake juu ya rasilimali zetu kuanzia rais wetu alipozuia mchanga wa dhahabu (makinikia) na kudhibiti Tanzanite, lakini kamwe hatutakubali kuburuzwa na tutaendelea kusimamia mila na desturi zetu.

Tunajua hii ni vita ya kiuchumi na kama taifa tunatakiwa kutumia akili nyingi na siyo nguvu, tupo tayari kuungana na rais wetu kwa kutumia akili zetu nyingi tulizonazo. Tuamini kwamba tunaweza bila hata kuwategemea hao wahisani wenye masharti magumu na yasiyotekelezeka.
 
"Dk. Philip Mpango amesema kama nchi tutapita kwenye wakati mgumu kidogo kwani tutakosa ushirikiano kutoka kwa wahisani kutokana na msimamo wetu"

Mmshauri raisi (before its too late) hatuwezi kushinda vita ya fitina na wa zungu hata siku moja kumweka MBowe jela, halina faida kwa Taifa kuwinda ma shonga sio mantiki kabisa.........nk. tutafuta approach mpya kabisa bila kuitangaza kwa ajiri ya kiki za kisiasa
 
..Jiwe ana double standards.

..kwa mfano anamuunga mkono SHOGA BABU SEYA.

..amemtoa kifungoni, amemkaribisha Ikulu wakasali naye, na kupiga naye picha.

..halafu Jiwe huyohuyo anaanza kukamata mashoga wengine walioko mitaani.

..kwa hiyo ukimsoma vizuri Jiwe utagundua kwamba anatumia suala la MASHOGA kama mtaji wa kisiasa.

Cc tindo, Pascal Mayalla, Nyani Ngabu
 
We simama nae tu ila jua utachoka na utajiunga kundini..maazimio yote yana mashiko na ni ya msingi..
Huwezi kwenda kushibisha kwa jirani nakati wewe mwenyewe hujashibisha nyumbani kwako.

Msidanganyike kabisa na hayo Mabepari yaliyotufikisha hapa zaidi ya miaka 50 iliyopita.

Sanasana yanawafanyia timing tu ili yazidi kutunyonya rasilimali zetu.

Tusijidanganye kuwa EU na USA ndiyo wa kutujengea hii nchi, tufunge mikanda zaidi ya uvumilivu lakini kwa baadaye mambo yatakaa sawa tu maana hakuna kilicho chepesi katika mafanikio ya jambo lolote kimaisha hapa duniani.

Sincerely Magufuli reinforce it by any hardness situation we pass through it doesn't matter coz evey successful way must capable of challenges, and the treatment to any problem is not only running away rather than facing it efficiently and effectively.
 
Hii serikali imejiharibia kwa kupenda sifa za kipuuzi. Kipindi hiki kama taifa tulipaswa kusimama pamoja, lakini wamewavuruga kila kundi hakuna halijaguswa. Si wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima n.k. Kila mtu analia ilhali wao wanajiongezea ulinzi na double standards. "Huyu mupe yule muluke". Sasa ndio wanaona umoja wa kitaifa. Utatoka wapi huo umoja na kila kitu kimeparagany'ika
 
Let the speak because they have to say something.Masuala ya kuingilia mamlaka ya nchi Fulani ni umbumbu kwa sababu they are economical powerful.Km Taifa jambo hili si la kushabikia km tunavofanya.Ni jambo la kupiga vita kwa kuwa tunaelewa madhara yake kwa km kilichotokea Libya
 
Huwezi kwenda kushibisha kwa jirani nakati wewe mwenyewe hujashibisha nyumbani kwako.

Msidanganyike kabisa na hayo Mabepari yaliyotufikisha hapa zaidi ya miaka 50 iliyopita.

Sanasana yanawafanyia timing tu ili yazidi kutunyonya rasilimali zetu.

Tusijidanganye kuwa EU na USA ndiyo wa kutujengea hii nchi, tufunge mikanda zaidi ya uvumilivu lakini kwa baadaye mambo yatakaa sawa tu maana hakuna kilicho chepesi katika mafanikio ya jambo lolote kimaisha hapa duniani.

Sincerely Magufuli reinforce it by any hardness situation we pass through it doesn't matter coz evey successful way must capable of challenges, and the treatment to any problem is not only running away rather than facing it efficiently and effectively.
Ni kweli hawawezi kutujengea lkn hatuwezi kujenga nchi hii kwa kuumizana, pia kufanya maamzi bila kufata taratibu tulizo jiwekea wenyewe
 
Sasa hivi ndio mnajua kuwa mnatakiwa kutumia akili nyingi kuliko nguvu?
 
Huwezi kwenda kushibisha kwa jirani nakati wewe mwenyewe hujashibisha nyumbani kwako.

Msidanganyike kabisa na hayo Mabepari yaliyotufikisha hapa zaidi ya miaka 50 iliyopita.

Sanasana yanawafanyia timing tu ili yazidi kutunyonya rasilimali zetu.

Tusijidanganye kuwa EU na USA ndiyo wa kutujengea hii nchi, tufunge mikanda zaidi ya uvumilivu lakini kwa baadaye mambo yatakaa sawa tu maana hakuna kilicho chepesi katika mafanikio ya jambo lolote kimaisha hapa duniani.

Sincerely Magufuli reinforce it by any hardness situation we pass through it doesn't matter coz evey successful way must capable of challenges, and the treatment to any problem is not only running away rather than facing it efficiently and effectively.
Kama unadhan upo hapa kwa sababu ya athari za unaowaita mabeberu...bas unajifariji na unaonekana mweny kukariri vilivyo zile points za history kweny afro-centic views
Ingekuwa hivyo, marekani iliyotawaliwa zaid ya miaka 100 wasingetawala dunia leo.

Funguo ubongo, achana na history ya pr, sec
 
Let the speak because they have to say something.Masuala ya kuingilia mamlaka ya nchi Fulani ni umbumbu kwa sababu they are economical powerful.Km Taifa jambo hili si la kushabikia km tunavofanya.Ni jambo la kupiga vita kwa kuwa tunaelewa madhara yake kwa km kilichotokea Libya

Yacha yatokee kwa sababu ni ya kujitakia kutoka kwa viongozi waliolewa madaraka.

Let the speak because they have to say something.Masuala ya kuingilia mamlaka ya nchi Fulani ni umbumbu kwa sababu they are economical powerful.Km Taifa jambo hili si la kushabikia km tunavofanya.Ni jambo la kupiga vita kwa kuwa tunaelewa madhara yake kwa km kilichotokea Libya
 
Tuamini kwamba tunaweza bila hata kuwategemea hao wahisani wenye masharti magumu na yasiyotekelezeka.

Mkuu sisi bado kusimama, tunahitaji kujifunza vingi.. Alafu ushoga mbona kama imekuwa excuse, ebu tubadili hayo mengine alafu hilo la ushoga tuliache, yaani isionekane tunalikubali au tunalikataa alafu tuone kama watatutafu tena.
 
Nimesoma barua ya maazimio 15 ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Union) kwa serikali yetu ya Tanzania. Maazimio hayo yanabeba masharti magumu kwa sababu kwenye barua yao wanazungumzia ushoga. Lakini pia kuna mambo ya mengine yametajwa kwenye maazimio hayo kama demokrasia na kutetereka kwa Haki za Binadamu.

Tayari Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango amesema kama nchi tutapita kwenye wakati mgumu kidogo kwani tutakosa ushirikiano kutoka kwa wahisani kutokana na msimamo wetu.

Mimi nasimama na rais wetu, Dk. John Pombe Magufuli kuyapinga maazimio hayo kwani inaonesha wazi yamekuja kutokana na msimamo wake thabiti juu ya usimamizi wa rasilimali zetu.

Ndiyo, ni kutokana na msimamo wake juu ya rasilimali zetu kuanzia rais wetu alipozuia mchanga wa dhahabu (makinikia) na kudhibiti Tanzanite, lakini kamwe hatutakubali kuburuzwa na tutaendelea kusimamia mila na desturi zetu.

Tunajua hii ni vita ya kiuchumi na kama taifa tunatakiwa kutumia akili nyingi na siyo nguvu, tupo tayari kuungana na rais wetu kwa kutumia akili zetu nyingi tulizonazo. Tuamini kwamba tunaweza bila hata kuwategemea hao wahisani wenye masharti magumu na yasiyotekelezeka.
Nini kusimama Naye bana? sisi tuko tayari kumwinamisha kwa nguvu
 
Back
Top Bottom