Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Daud Bashite kaamua kuchezesha Sinema kibao ili watanzania wamsahau kabsa apete na vyeti vyake feki, kamwandalia magufuli sinema nyingi mpaka watanzania wamsahau kabsa, watanzania wanataka mikataba yote iletwe wazi mikataba ya ununuzi wa kivuko DSM kwenda Bagamoyo, ununuzi wa ndege kwa cash, ujenzi wa Reli, uwanja wa ndege chato na ukarabati wa bandari mikataba yao iwekwe wazi mapema.
Akilin 0%? Bashite anahusikaje hapo. Na hujalazimishwa kumsahau unaweza kwenda kumtembelea ofisini kwake na leo alikuwa live youtube
 
Sasa ni dhahiri msimamo wa CHADEMA juu ya sakata la mchanga wa dhahabu umeparaganyika.

Kwanza Lissu alikuja na kali ya kuwatetea ACCASIA, kuwa mikataba ya wizi iliyofungwa na Nchi, tutashitakiwa na kupigwa adhabu kali za kimataifa.

Sasa Lowassa amempongeza Magufuli kwa kazi nzuri.

Tatu yule ambaye Lissu aisema atatushitaki mpaka tukome, kaja mwenyewe na kasema yeye nfo atstulipa kwa wizi uiofanyika.
CHADEMA sasa inaonekana kama gulio la wajinga.

Ushauri wangu: muufungie luku huo mdomo wa kijana wenu Lissu, kwani pamoja na kusoma sana sheria bado hajaelimika.
ni domokaya halafu mbaya sana anajiuza kutumika na adui kwenye hii vita ya kiuchumi.
 
Hama hata Dk hii yaani wewe unahama kisa wizi tokea 1998 umebarikiwa na CCM leo hii magufuli katekeleza kilio cha Wapinzani unahama chama?
Wapinzani walikua wanatishia ooh tutashtakiwa, sasa kama wamepiga kelele miaka mingi na mwaka huu amepatikana mtu wa kutatua hilo kwanini wanakaa kutishia serikali na kuwajaza wananchi hofu? Oooh muda sio mrefu tutapelekwa mahakama za kimataifa tutalipishwa trillions of money.
Hapo ndo nashindwa kumuelewa Lissu maana kama ni wakati wa kufurahi ndio huu kwamba hatimaye serikali imesikiliza michango yake
 
Daud Bashite kaamua kuchezesha Sinema kibao ili watanzania wamsahau kabsa apete na vyeti vyake feki, kamwandalia magufuli sinema nyingi mpaka watanzania wamsahau kabsa, watanzania wanataka mikataba yote iletwe wazi mikataba ya ununuzi wa kivuko DSM kwenda Bagamoyo, ununuzi wa ndege kwa cash, ujenzi wa Reli, uwanja wa ndege chato na ukarabati wa bandari mikataba yao iwekwe wazi mapema.
Hii akili si ya nchi hii...
 
mkuu, hakuna tofauti kati ya alichoongea Lissu na Lowasa.

kama ulimsikiliza vizuri Lowasa alitoa a thinly veiled barb kwa Magufuli/CCM. tofauti na Lissu ambaye yeye ana-hit kwenye bull moja kwa moja bila kuremba!

20170614_163445.jpg

Jisomee mwenyewe hiyi habari ndani ya Majira leo, na wala usijieleweshe utakavyo wewe.
 
Wewe ndiyo kilaza wa mwisho kabsa Duniani Kumbuka huyo mmiliki kaja kuandaa mkutano wa majadiliano wakishakubaliana ndipo wataitengua mikataba ya zamani mibovu iliyopo iliyopitishwa na CCM wenzako wajinga kama wewe gulio la wajinga lipo CCM kwani bila wao ujinga huu usingekuwa unajadiliwa leo.
Kamanda umepata wapi habari hiyo?wacha kweka matamanio ya moyo wako kwenye mambo ya kitaifa
 
Sasa ni dhahiri msimamo wa CHADEMA juu ya sakata la mchanga wa dhahabu umeparaganyika.

Kwanza Lissu alikuja na kali ya kuwatetea ACCASIA, kuwa mikataba ya wizi iliyofungwa na Nchi, tutashitakiwa na kupigwa adhabu kali za kimataifa.

Sasa Lowassa amempongeza Magufuli kwa kazi nzuri.

Tatu yule ambaye Lissu aisema atatushitaki mpaka tukome, kaja mwenyewe na kasema yeye nfo atstulipa kwa wizi uiofanyika.
CHADEMA sasa inaonekana kama gulio la wajinga.

Ushauri wangu: muufungie luku huo mdomo wa kijana wenu Lissu, kwani pamoja na kusoma sana sheria bado hajaelimika.
vipi huko ccm msimamo wa jpm unatofautiana na msimamo wa muhongo, chenge na ngeleja. kafumu. masaju werema naona kama ccm ndo wameparanyika zaidi
 
Hata hamjui Magufuli kabiwa nini mshaanza sherehe humi. Ngoja ayaachie yale makontena ndio mtawajua wazungu.
 
Sisi wajanja toka mwanzo tulijua hakuna kitu hapo, hakuna kesi wala nn Bali lilikuwa swala LA kupata kiki.
Mtu unagombania asilimia 4 ktk mabaki wakati una acha zaidi ya asilimia 96 inaondoka ktk dhahabu hiyo ni akili au matope? Na watu na akili zetu tunasheherekea, aliyeturoga kweli ni ccm
 
Sasa ni dhahiri msimamo wa CHADEMA juu ya sakata la mchanga wa dhahabu umeparaganyika.

Kwanza Lissu alikuja na kali ya kuwatetea ACCASIA, kuwa mikataba ya wizi iliyofungwa na Nchi, tutashitakiwa na kupigwa adhabu kali za kimataifa.

Sasa Lowassa amempongeza Magufuli kwa kazi nzuri.

Tatu yule ambaye Lissu aisema atatushitaki mpaka tukome, kaja mwenyewe na kasema yeye ndo atatulipa kwa wizi uiofanyika.
CHADEMA sasa inaonekana kama gulio la wajinga.

Ushauri wangu: muufungie luku huo mdomo wa kijana wenu Lissu, kwani pamoja na kusoma sana sheria bado hajaelimika.
Leo mnasema Lisu anatetea wezi, Lisu alikuwa akitoa ushauri wa kisheria tu. Wakati ule anapambana juu ya hiyo mikataba mlimzomea, eti leo mnajifanya mashujaa, hovyo kabisa ccm.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiyo kilaza wa mwisho kabsa Duniani Kumbuka huyo mmiliki kaja kuandaa mkutano wa majadiliano wakishakubaliana ndipo wataitengua mikataba ya zamani mibovu iliyopo iliyopitishwa na CCM wenzako wajinga kama wewe gulio la wajinga lipo CCM kwani bila wao ujinga huu usingekuwa unajadiliwa leo.
Kwa hiyo kinachowauma ni hayo majadiliano ya kutengua mikataba? Mlitaka isitenguliwe ili tuendelee kuibiwa hivohivo?
 
Kosa la zamani linazinduliwa sasa ! Cha ajabu miaka yote Wapinzani wamepiga kelele waliwadharau lakini kwa kuwa magufuli ni Rais kaonekana kama kazindua mladi wa kuwalipa mishahara watanzania wasio na kazi. huu ujinga wa CCM ndiyo umelifanya Taifa kuwa la ajabu ajabu
Kweli wewe utakuwa ni funza haueleweki hata unachochangia humu ktk jamvi
 
Daud Bashite kaamua kuchezesha Sinema kibao ili watanzania wamsahau kabsa apete na vyeti vyake feki, kamwandalia magufuli sinema nyingi mpaka watanzania wamsahau kabsa, watanzania wanataka mikataba yote iletwe wazi mikataba ya ununuzi wa kivuko DSM kwenda Bagamoyo, ununuzi wa ndege kwa cash, ujenzi wa Reli, uwanja wa ndege chato na ukarabati wa bandari mikataba yao iwekwe wazi mapema.
sawa nakuona katika kiwango chako cha juu kabisa cha uelewa
 
Back
Top Bottom