Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Wewe ndiyo kilaza wa mwisho kabsa Duniani Kumbuka huyo mmiliki kaja kuandaa mkutano wa majadiliano wakishakubaliana ndipo wataitengua mikataba ya zamani mibovu iliyopo iliyopitishwa na CCM wenzako wajinga kama wewe gulio la wajinga lipo CCM kwani bila wao ujinga huu usingekuwa unajadiliwa leo.
Alituongoza lowasa ktk ujinga huu na sasa anawaongoza nyinyi kwenye huo ujinga.
 
53a2ee23546203eba6ff08d9057a4ba9.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ukisema ccm wajinga mpka wazazi wako n wajinga
Kwani haiwezekani kua na wazazi wajinga? we vipi ... kweli mzazi ni mtu muhimu na wakuheshimika sana kijamii laki anaweza kuwa chizi vilevile ...

Kwa hiyo unataka kusema kua iki Baba yako au Mama yako ni chizi anapiga watu huwezi kumfunga kamba ...

Mijitu mingine bana inahoja za kibwege ...
 
CHADEMA inakosa watu wenye kuona Mbali kama Lowassa. Nashukuru katika hili Mbowe kama mkuu wa chama hajasema chochote. Alijua haki ya Tz na si siasa za Mtumwa wake Lissu.
 
Magufuli ndiyo kila kitu, kasome post ya MPENDAZOE(Chadema wangemaanisha wasingewapokea Majizi pala-LOWASSA, SUMAYE n.k)
Sio hao tu hata wewe tutakupokea siku si nyingi. Ngoja movie hii ipite. Wakati wakujenga Tanzania yakweli huna namna utakuja tu kutubu ndugu yangu mpendwa. Huku kwetu sisi hatuna muda wakuwachezeshea Watz sinema bali ni maendeleo yakweli.
 
lisu aliongea kulingana na mikataba iliyochongwa na CCM inavyowapa mamlaka ya kuokota kila kitu, Tambua lisu hajawatetea wazungu yy alikuwa akilia na sheria mbovu zilizopitishwa na CCM Subiria majadiliano wazungu si wajinga wamependekeza majadiliano ili wapate kuwabana huko huko.
19059113_139624059929874_7069137099360747127_n.jpg
 
na wahusika wengine wamekimbilia chadema....hahahahaha yaani chadema mnachekesha sanaaa...Dk slaa peke yake ndio mtu nimemuona ana akili kati ya waliokua viongozi wote wa chadema...achilia mbali wafuasi wa chadema ambao wanaenda na mihemko tu bila kutafakari (T lisu na Lema ni mifano halisia) sijawahi shabikia ccm ila magufuli nimemkubali
Wewe huwezi kuuona umuhimu na maana ya uwepo wa CDM, ni kwa sababu unawapinga kwa gharama zozote. Lakini zaidi ya nusu ya WaTz wawakubali na wako tayari kuwachagua kama hakuna mizengwe.

Huyo Dr. Slaa alipokuwa CDM mlimpa kila aina ya kashfa mbaya, mmeona ubora wake kwa kuwa aliigeuka CDM
 
swali rahisi kwa ccm msimamo wenu ni upi labda,maana hamuelewi kama nyie ni moto au baridi tatizo linalowasumbua vijana wa ccm ni akili za kushikiwa na kuwa wazito wa kuhoji
 
lisu aliongea kulingana na mikataba iliyochongwa na CCM inavyowapa mamlaka ya kuokota kila kitu, Tambua lisu hajawatetea wazungu yy alikuwa akilia na sheria mbovu zilizopitishwa na CCM Subiria majadiliano wazungu si wajinga wamependekeza majadiliano ili wapate kuwabana huko huko.
Una maana kuwa sisi ndo wajinga au. Lisu alitutisha tutashtakiwa hapo ndo alionekana bwege na kila mtanzania akamdharau
 
Back
Top Bottom