masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Sasa ni dhahiri msimamo wa CHADEMA juu ya sakata la mchanga wa dhahabu umeparaganyika.
Kwanza Lissu alikuja na kali ya kuwatetea ACCASIA, kuwa mikataba ya wizi iliyofungwa na Nchi, tutashitakiwa na kupigwa adhabu kali za kimataifa.
Sasa Lowassa amempongeza Magufuli kwa kazi nzuri.
Tatu yule ambaye Lissu aisema atatushitaki mpaka tukome, kaja mwenyewe na kasema yeye ndo atatulipa kwa wizi uiofanyika.
CHADEMA sasa inaonekana kama gulio la wajinga.
Ushauri wangu: muufungie luku huo mdomo wa kijana wenu Lissu, kwani pamoja na kusoma sana sheria bado hajaelimika.