Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

Wapinzani wapi wakati Lissu anamtishia kuwa atashitakiwa na ACACIA.
lisu aliongea kulingana na mikataba iliyochongwa na CCM inavyowapa mamlaka ya kuokota kila kitu, Tambua lisu hajawatetea wazungu yy alikuwa akilia na sheria mbovu zilizopitishwa na CCM Subiria majadiliano wazungu si wajinga wamependekeza majadiliano ili wapate kuwabana huko huko.
 
Unadhani kwa nini hakukimbilia mahakamani kama alivyoshauri Lissu?
 
wewe kamwehu tu na bd mtaropokaaaaaaaaaa
 
unajifanya kujua mno
 
mkuu mwanasiasa ni mwanasiasa tu leo rais maghufuli kashangaza watanzania kwa kuwatetea majizi jk na mkapa eti yasivuliwe kinga. kweli nimeamini mafisadi lao moja. tunafanyiwa maigizo hapo.
mkuu wa wezi anaachwa lakini waliotekeleza Amri kutoka juu wanahangaishwa na mahojiano, pasipo mkapa na kikwete kuhojiwa ujue hakuna kitu hapo zitabakia sinema za kuwasahaulisha wananchi juu ya vyeti vya Bashite
 
Wahurumie wenzie , subiri hao walimpongeza JPM huko ufipa kama 2020 utawaona tena, labda kama MBOWE amegawa hisa za SACCOSS yake
mkuu afadhali hii ya mbowe kuliko ya maguu misukule yote ya lumumba imewekwa mfukoni mwa jpm. hata mh. akijamba malumumba yanashangilia.upuuzi mtupu
 
wewe kamwehu tu na bd mtaropokaaaaaaaaaa
yaani kama mama yako? Uniheshimu ujue mie nimezaa na mama yako mdogo wako unamjua baba yake? Kama ni mwehu ni wewe unayeshinda nyumbani kwa tumbo tumbo mjinga mjinga Le mutuz.
 
chadema kunaujuha sana ndani yake sijui nani kawaroga.
 
na wahusika wengine wamekimbilia chadema....hahahahaha yaani chadema mnachekesha sanaaa...Dk slaa peke yake ndio mtu nimemuona ana akili kati ya waliokua viongozi wote wa chadema...achilia mbali wafuasi wa chadema ambao wanaenda na mihemko tu bila kutafakari (T lisu na Lema ni mifano halisia) sijawahi shabikia ccm ila magufuli nimemkubali
 
Ni mwendo wa sinema kibao mpaka vyeti feki vya makonda vifike 2020
 
bila mkapa na jk kuhojiwa juu ya wizi huu wa madini ni kazi bure. kina chenge ni kuwaonea bure. tungekuww nchi kama korea au china hao walipaswa kupigwa risasi hadharani kwa kulitumbukiza taifa kwenye mikataba ya hovyo
 
chadema kunaujuha sana ndani yake sijui nani kawaroga.
Ujuha upo CCM tena majuha sugu yaani tokea 1998 Wapinzani wamepiga kelele ndiyo mnakuja kuzinduka 2017 kama sio ujuha ni nini?
 
Tundu lisu ni msomi ambaye hajaelimika!wasomi hawapayuki
Lipumba, kapuya, Tibaijuka, mwakyembe si hujiita wasomi? Mbona hawana busara? Wanaojiita wasomi huko CCM ndiyo hupitisha mikataba mibovu na kufanya mambo ya ajabu ajabu.
 
Lipumba, kapuya, Tibaijuka, mwakyembe si hujiita wasomi? Mbona hawana busara? Wanaojiita wasomi huko CCM ndiyo hupitisha mikataba mibovu na kufanya mambo ya ajabu ajabu.
Kwa hiyo na Lisu kaungana nao kufanya mambo ya ajabu ajabu??
 
Chadema Gulio la wajiga[emoji23][emoji23]. Mkuu mungu anakuona
 
mkuu wizi hauna itikadi. tatizo maccm yamegeuza vita hii ya kisiasa. nimevunjika moyo na kauli ya rais leo kuwatetea majizi jk na mkapa kwa kuzuia wasivuliwe kinga ya kutoshitakiwa. mafisadi ilopasws watafutwe kokote waliko na kuwatokomeza kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…