Msimamizi wa lodge Dar es Salaam anahitajika

Asubiri kitu gani, itaje hapa hapa wote tuijue.
Na Wanaume Wanaojiamin Tu Wanaweka Avatar Za Sura Zao!!! Kabla Hujajua Lodge Yangu Inaitwaje!! Unaonaje Ukiweka Avatar Yeny Sura Yako Nikuone!!?? Mi Nimewek Ww Je?? Usije Pupa Jf
 
Mambo ya Avatar na kazi wapi na wapi? Kazi unaweka wazi address na location, ndiyo maana jamaa alikuuliza kama hiyo ni Lodge bubu.
 
Wakat Naijenga Ulinisaidia??? Wew Km Unatak kaz Pig Sim Km Hutak Kafue Chupi. Et Taj Tuijue ***** Punguza Funza Bro.
Mpaka hapa tangazo lako lishakosa mashiko, wewe utakuwa manager au director usiyejielewa nani atataka kufanyakazi na Manager, Director au Owner mbwatutaji?
 
Mambo ya Avatar na kazi wapi na wapi? Kazi unaweka wazi address na location, ndiyo maana jamaa alikuuliza kama hiyo ni Lodge bubu.
Endelea Kupiga Kelele Kwa Kutaka Kujua Jina La Lodge Yangu!! Nimepokea Simu 79 Mpaka Tym Hii!!!! Pesa Inazid Kuingia! Ushaur Wangu Kwako Tafuta Kiwanja Jenga Lodge Yako Njoo Jf Itangaze!! Weny Shida Na Nia Ya Kaz Huwa Hawauliz Maswal Km Polis. Over
 
Mpaka hapa tangazo lako lishakosa mashiko, wewe utakuwa manager au director usiyejielewa nani atataka kufanyakazi na Manager, Director au Owner mbwatutaji?
Aaaaaaah aaaaaah director au Manager!!!! @jerrysantonga Njoo Umuone Huyu Teja Anavyohaha Kunifahamu
 
Nahitaji hiyo kazi,,minafanya kazi za hotel
 
Badilisha ID yako , hiyo kuzama chumvini watakukimbia
 
Back
Top Bottom