Msimamizi wa lodge Dar es Salaam anahitajika

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Natafuta Msimamiz Wa Lodge Iliyopo Dsm. Awe Kijana Wa Kiume. Umri 23_25. Elimu Kidato Cha Nne. Awe Na Wadhamini Wawili. Muaminifu.

Sehemu Ya Kulala Na Kula Vipo.

Mshaara Maelewano.

Aliye na nia ya dhati Tuwasiliane

0755096859 au 0756452556.
 
Nawaonya wadogo zanguu...msijaribu kupiga namba hizo.....kaeni mbalii kwa usalama wenu..
 
Natafuta Msimamiz Wa Lodge Iliyopo Dsm. Awe Kijana Wa Kiume. Umri 23_25. Elimu Kidato Cha Nne. Awe Na Wadhamini Wawili. Muaminifu.

Sehemu Ya Kulala Na Kula Vipo.

Mshaara Maelewano.

Aliye na nia ya dhati Tuwasiliane

0755096859 au 0756452556.

Kuna dalili ya mtu kuzaimiwa chumvini hapa!!!!! Let us wait!!!!
 
Back
Top Bottom