Msimamizi wa lodge Dar es Salaam anahitajika

Msimamizi wa lodge Dar es Salaam anahitajika

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
644
Natafuta Msimamiz Wa Lodge Iliyopo Dsm. Awe Kijana Wa Kiume. Umri 23_25. Elimu Kidato Cha Nne. Awe Na Wadhamini Wawili. Muaminifu.

Sehemu Ya Kulala Na Kula Vipo.

Mshaara Maelewano.

Aliye na nia ya dhati Tuwasiliane

0755096859 au 0756452556.
 
Jina lako tu linsnitisha ....je hiyo lodge au danguru
 
Nawaonya wadogo zanguu...msijaribu kupiga namba hizo.....kaeni mbalii kwa usalama wenu..
 
Taja Lodge unaitwaje ili tufike Ofisini tuombe kazi physically badala ya kupiga simu
 
Natafuta Msimamiz Wa Lodge Iliyopo Dsm. Awe Kijana Wa Kiume. Umri 23_25. Elimu Kidato Cha Nne. Awe Na Wadhamini Wawili. Muaminifu.

Sehemu Ya Kulala Na Kula Vipo.

Mshaara Maelewano.

Aliye na nia ya dhati Tuwasiliane

0755096859 au 0756452556.

Kuna dalili ya mtu kuzaimiwa chumvini hapa!!!!! Let us wait!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom