SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,312 Reaction score 2,314 Apr 2, 2025 #321 Ghazwat said: Inawezekana maana uwezekano wa kubaguliwa katika misikiti yetu ya kawaida hakuna Huyo aliingia bohora ama Shia Click to expand... Misikiti ya Anjuman e saifee (Dawoodi Bohra) mfano Hakimi Mosque uliopo upanga karibu na Olympio school na Ile ya Khoja Shia ndio Mswahili hatii pua kwenye ibada zao....... Ukiona mmatumbi huko basi ni mlinzi tu
Ghazwat said: Inawezekana maana uwezekano wa kubaguliwa katika misikiti yetu ya kawaida hakuna Huyo aliingia bohora ama Shia Click to expand... Misikiti ya Anjuman e saifee (Dawoodi Bohra) mfano Hakimi Mosque uliopo upanga karibu na Olympio school na Ile ya Khoja Shia ndio Mswahili hatii pua kwenye ibada zao....... Ukiona mmatumbi huko basi ni mlinzi tu
SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,312 Reaction score 2,314 Apr 2, 2025 #322 Angel Nylon said: Msikiti wa mashia. Click to expand... Khoja Shia
SPYMATE JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 2,312 Reaction score 2,314 Apr 2, 2025 #323 Mibas said: Huo mskiti ni wa dhehebu la shia ithnasharia, waislam wote wanaswali pale bila ubaguzi wowote, na mara nyingi swala pali msikiti huongozwa na sheikh mswahili anaitwa sheikh LalalaView attachment 425021View attachment 425023View attachment 425026View attachment 425027kama hujui kitu ni vizuri uulize kwanza kabla ya kupotosha ukweli. Click to expand... Khoja Shia Ithnasheria Mmatumbi hatii pua
Mibas said: Huo mskiti ni wa dhehebu la shia ithnasharia, waislam wote wanaswali pale bila ubaguzi wowote, na mara nyingi swala pali msikiti huongozwa na sheikh mswahili anaitwa sheikh LalalaView attachment 425021View attachment 425023View attachment 425026View attachment 425027kama hujui kitu ni vizuri uulize kwanza kabla ya kupotosha ukweli. Click to expand... Khoja Shia Ithnasheria Mmatumbi hatii pua