Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,988
- 3,688
Tulia watu wajadili mada kama huna pointsWewe kama sio muumini wa huo msikiti
unakuwashia niini?
mbona misikiti ipo mingi tu Tanzania?
Misikiti yote ina majina yake.... kwahivyo kuacha kuutaja si katika tabia za kiislaamKuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Majibu yangu kwako hayana msaada wowote kwangu. Sikujibu kwa faida ya jamuhuriUmewahi kwenda kuswali ukabaguliwa? Na kwa Africa weupe nao una madaraja, hao wanaobaguliwa ni weusi kiaje?
Si kweli karibu misikiti yote tunaijuaTena nikijua kuna Ubaguzi mimi naingia na ninakaa safu ya mbele alaf nguchiro yeyote aje aone..
Kwa sababu ulikuwa ukiingia kanisani na viatu basi unataka kila sehemu iwe hivyo hivyo.Misikiti yote ina ubaguzi.
Inabagua wasiotaka kuvua viatu mlangoni.
Sema jingine.
Hahaa mdada una mikwara kumpita faizafoixy sijui kafia wapi.Weka jina la msikiti nikajaribu...nione huyo atakayenizuia,patachimbika.