Msikiti mpya kufunguliwa Ujerumani, Mashoga, Kawaida, Wanawake, Suni, Shia kusali kwa pamoja!

Haya sasa mambo yameiva, mambo ya Uliberali yameingia na kwa Waislamu pia!

Imam Seyran Ates


Germany set to open its first liberal mosque in Berlin


Mimi nitafurahi zaidi ikiwa hata misikiti ya kawaida itawaruhusu na wanawake wasali pamoja na wale wa kiume.Hilo la Mashoga kuingia msikitini sio jambo baya.Ikiwa watakutana na wahubiri wazuri ni rahisi kwa hao mashoga kubadilishwa mienendo yao kupitia mausia mazuri na ya kuvuvia nguvu ya Mungu.Mungu hakuja na habari njema duniani kwa ajili ya wema bali wakosefu.Hospitali hazifunguliwi kwa ajili ya wenye siha njema Bali kwa walio wagonjwa.Chakula kinalimwa na kuandaliwa kwa ajili ya wenye njaa.
 
ISIS hawaelewi hiyo mkuu hukuona wanalipua mpaka Ramadhani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…