Msikiti mpya kufunguliwa Ujerumani, Mashoga, Kawaida, Wanawake, Suni, Shia kusali kwa pamoja!

Hiyo ni mila ya Kikafiri sio ya Kiislam hao wanakusudia kuuchafua uislam tangu lini Shia akawa Muislam

Hiyo inakusudiwa kusafisha waislamu na sio kuwanajisi.Kuwatenga waislamu wadhambi wasiingie Misikitini ndio kuunajisi Uislamu wenyewe.Kuwatenga wanawake waislamu wasichangamane na waislamu wanaume wakati wa kusali ndio kuukafikirisha uislamu huko.

Msikitini kunafanyika dua mbele ya Munyazimungu.Kwani nini uwatenge waumini wakati shida yenu na hitaji la wote ni hilo hilo tu?

Kwani msikitini kunafanyika mambo ya siri ambayo wanawake hawatakiwi kuyaona wanaume wakiyafanya?

Hapa tumelalamika kuibiwa dhahabu kwa wingi kupitia maboso (makanikia) kusafirishwa tokana na kukosa Smelter ya kuchenjulia.Msikiti au Kanisa ni Smelter.Humo "wanachenjuliwa" wenye dhambi ili kupata watu wema( dhahabu na madini safi). Sasa ikiwa tuna makanikia na hatutaki yawekwe kwenye smelter dhahabu itapatikana vipi?

Sisi tunaokataa wanawake na mashoga wasijumuike na watu wengine misikitini ndio tunasababisha makanikia( watu wakosefu) waibiwe na shetwan.
 
Kwani nnavyowafahamu wasunni , huo msikiti hautadumu, suicide bomb itahusika hapo
 
Naifikiria siku watakapolipuliwa wote na Wale wenye uhakika wa kupata mahurulaini 72
 
Huo sio Msikiti ni Jumba la kufanyia ufuska ..

. Ili jengo liitwe Msikiti lazima liwe na vigezo flani flani.. Huwezi kujenga tu jengo lako na kuliita msikiti

Vigezo gani mkuu? Mbona munaukafirisha uislamu hivyo? Mbona hata ninyi ni watenda dhambi watarajiwa tu? Kwa sasa mumefunga na mumejitenga na dhambi lakini baada ya mfungo munarejea dhambi zile zile kwa staili na nguvu ile ile na bado haiwi nongwa ninyi kuhudhuria misikitini.

Sasa ninyi muna tofauti gani na hao mashoga? Wamama munawazuia wasikutanike nanyi pamoja kwa kosa gani hasa?
 
Naifikiria siku watakapolipuliwa wote na Wale wenye uhakika wa kupata mahurulaini 72

Acha hayo mageuzi yaje yalete uzima na mageuzo ya ndani kwa wanaotengwa.Haiwezekani wanawake watengwe kuchangamana na wanaume misikitini halafu "mbinguni" wanawake hao hao wawe na thamani kiasi hicho kwa " wanawake" 72 kupewa mtu mmoja tu.Sasa katika hali hiyo nani anayejua zaidi thamani ya wanawake;ni Mungu au Maimamu na Mashehe?
 
Hiyo inakusudiwa kusafisha waislamu na sio kuwanajisi.Kuwatenga waislamu wadhambi wasiingie Misikitini ndio kuunajisi Uislamu wenyewe.Kuwatenga wanawake waislamu wasichangamane na waislamu wanaume wakati wa kusali ndio kuukafikirisha uislamu huko.

Msikitini kunafanyika dua mbele ya Munyazimungu.Kwani nini uwatenge waumini wakati shida yenu na hitaji la wote ni hilo hilo tu?

Kwani msikitini kunafanyika mambo ya siri ambayo wanawake hawatakiwi kuyaona wanaume wakiyafanya?

Hapa tumelalamika kuibiwa dhahabu kwa wingi kupitia maboso (makanikia) kusafirishwa tokana na kukosa Smelter ya kuchenjulia.Msikiti au Kanisa ni Smelter.Humo "wanachenjuliwa" wenye dhambi ili kupata watu wema( dhahabu na madini safi). Sasa ikiwa tuna makanikia na hatutaki yawekwe kwenye smelter dhahabu itapatikana vipi?

Sisi tunaokataa wanawake na mashoga wasijumuike na watu wengine misikitini ndio tunasababisha makanikia( watu wakosefu) waibiwe na shetwan.
Mbona nyie wakatoliki hamruhusu mapadri na maasokofu kuishi na mwanamke? Au masister kuishi na wanaume? Kwani haki ya kuzaa na kufanya ngono si kila binadamu aliyekamilika? Usiwapangie watu utaratibu wao walioamua kulingana na kitabu chao.
 
Mimi nitafurahi zaidi ikiwa hata misikiti ya kawaida itawaruhusu na wanawake wasali pamoja na wale wa kiume.Hilo la Mashoga kuingia msikitini sio jambo baya.Ikiwa watakutana na wahubiri wazuri ni rahisi kwa hao mashoga kubadilishwa mienendo yao kupitia mausia mazuri na ya kuvuvia nguvu ya Mungu.Mungu hakuja na habari njema duniani kwa ajili ya wema bali wakosefu.Hospitali hazifunguliwi kwa ajili ya wenye siha njema Bali kwa walio wagonjwa.Chakula kinalimwa na kuandaliwa kwa ajili ya wenye njaa.
Hahaaa wewe una akili sana.

Ilifaa upewe unabii wa hii dini na Allah,maana aliyepewa alipwaya vibaya.
 
Mimi nitafurahi zaidi ikiwa hata misikiti ya kawaida itawaruhusu na wanawake wasali pamoja na wale wa kiume.Hilo la Mashoga kuingia msikitini sio jambo baya.Ikiwa watakutana na wahubiri wazuri ni rahisi kwa hao mashoga kubadilishwa mienendo yao kupitia mausia mazuri na ya kuvuvia nguvu ya Mungu.Mungu hakuja na habari njema duniani kwa ajili ya wema bali wakosefu.Hospitali hazifunguliwi kwa ajili ya wenye siha njema Bali kwa walio wagonjwa.Chakula kinalimwa na kuandaliwa kwa ajili ya wenye njaa.
Wenye afya hawamuhitaji daktari,bali wagonjwa, Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.
 
Ya waislam hayakuhusu.unataka utupangie utaratibu wa ibada? Ndo maana nikakwambia fuata yako.

Mkuu nielewe vizuri na umuelewe mleta mada vizuri.Hii hoja imewekwa hapa ili tuijadili.Mungetaka ijadiliwe na Waislamu pekee mungeipeleka msikitini ambako sisi wengine hatuingii.Mambo yalowekwa hadharani hujadiliwa hadharani vile vile.Ukileta hoja hadharani ukataka watu wajadili sirini huko ni kumaanisha nini? Hivi Mwalimu akitoa hoja darasani halafu kisha akataka wanafunzi wanaotaka kuijadili wamufuate ofisini huyo Mwalimu ataelewekaje? Mtoa uzi haja-limit wasio waislamu wasijadili hoja yenyewe.

Na kama tukienenda kwa muktadha unaoutaka wewe mbona unajadili mambo ya huo msikiti? Huo msikiti wewe unakuhusu vipi? Inakuwaje umeguswa na mambo ya msikiti wa makafiri kwani na wewe ni "mtu usiye ridhiki" mtarajiwa atakayetumia huo msikiti? Wewe ni Ke anayetarajia kuingia na kufurika katika msikiti huo?
 
Numekuuliza mbona nyie wakatoliki maaskofu hawaoi? Na masista hawaolewi? Hujanipa jibu
 
Mbona nyie wakatoliki hamruhusu mapadri na maasokofu kuishi na mwanamke? Au masister kuishi na wanaume? Kwani haki ya kuzaa na kufanya ngono si kila binadamu aliyekamilika? Usiwapangie watu utaratibu wao walioamua kulingana na kitabu chao.

Msikiti ulojengwa haujataka waumini wema mukaingie mule.Kule ni kwa ajili ya mashoga,wanawake,mashia na "makafiri" mashia.Kwa lugha nyingine ni kwa wale wanaotaka.Hao watu hawaji misikitini kwenu.Sasa ninyi imewauma nini? Sisi mtu akitoka kwenye Ukatoliki na kwenda kujenga kanisa lake ambalo mapadri na Masista wanaoa wakatoliki waliobaki kwenye ukatoliki halisi hawawezi ku-mind hata kidogo na wala kuazimia kwenda kuchoma kanisa la watu wa namna ile.Ninyi kwa nini munawashwa kwa jambo lisilowahusu? Kwani kuta za msikiti huo zimefungamanishwa na kuta za msikiti wenu wenu wa kawaida usiofurika "makafiri" kama hao?
 
Mimi nitafurahi zaidi ikiwa hata misikiti ya kawaida itawaruhusu na wanawake wasali pamoja na wale wa kiume.Hilo la Mashoga kuingia msikitini sio jambo baya.Ikiwa watakutana na wahubiri wazuri ni rahisi kwa hao mashoga kubadilishwa mienendo yao kupitia mausia mazuri na ya kuvuvia nguvu ya Mungu.Mungu hakuja na habari njema duniani kwa ajili ya wema bali wakosefu.Hospitali hazifunguliwi kwa ajili ya wenye siha njema Bali kwa walio wagonjwa.Chakula kinalimwa na kuandaliwa kwa ajili ya wenye njaa.
Mkuu wanawake wanaingia msikitini na wanaswali kama kawaida ila wao wanayo sehemu yao ambayo mara nyingi ni nyuma ya wanaume na imegawnywa!
Yapo mazingira ya baadhi ya misikiti wao wanakaa kwenye ubavu wa msikiti lakini bado hawaingiliani na wanaume.
Inaruhusiwa wanawake kuswali nyumbani na i apendekezwa hivyo isipokuwa swala ja Jamaa(Ijumaa).
 
Amini usiamini huo msikiti hautochukua hata siku saba basi utakuwa tyr umelipuliwa na wenye imani ya kweli .

Yatunzeni maneno yangu!
 
Wenye afya hawamuhitaji daktari,bali wagonjwa, Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.

Mule mule mkuu.Meli huundwa kwa ajili ya kusafirishia mizigo na abiria.Watu wana mizigo yao ya dhambi wanataka kumkabidhi Mungu wao sasa wakatumie njia gani kama sio msikiti? Meli ndo hilo limeundwa tayari."Acha maneno peleka dhambi kwa Mungu"
 
Back
Top Bottom