Msikiti mpya kufunguliwa Ujerumani, Mashoga, Kawaida, Wanawake, Suni, Shia kusali kwa pamoja!

Wageni wengi wanaokaa nchi za watu kwa vibari vya ukimbizi..unakaa kwa kibali cha kuwa yeye ni shoga au msagaji..kwa hiyo sioni jipya katika hilo.
Huyo ataekwenda kulichoma yawezekana kibari chake kinasoma kama yeye ni shoga ili asirudishwe kwao..
 
Amini usiamini huo msikiti hautochukua hata siku saba basi utakuwa tyr umelipuliwa na wenye imani ya kweli .

Yatunzeni maneno yangu!

Mukilipua msikiti wa watu huo nao utakuwa ni ugaidi.Kila siku tunawatahadharisha kujitenga na mambo ya kigaidi.Mukiwalipua basi ninyi mutakuwa makafiri magaidi.
 
Mule mule mkuu.Meli huundwa kwa ajili ya kusafirishia mizigo na abiria.Watu wana mizigo yao ya dhambi wanataka kumkabidhi Mungu wao sasa wakatumie njia gani kama sio msikiti? Meli ndo hilo limeundwa tayari."Acha maneno peleka dhambi kwa Mungu"
Nimependa hiyo verse ya mwisho.
 
Kwao ushetani umewajaa sasa wanakuwa na visingizio kila namna lakini hawatoweza.

Uislam ndiyo njia pekee kwa Allah. Huu upuuzi haukuanzia Ujerumani lakini nako utashindwa kama ulivyoahindwa kwengine .

Eti wamekodishwa na kanisa katoliki wafanye huo upuuzi wao. Wananchekesha.
 
Mkuu unasema yame
Haya sasa mambo yameiva, mambo ya Uliberali yameingia na kwa Waislamu pia!

Imam Seyran Ates
Screen-Shot-2017-06-16-at-10.20.26-640x480.png


Germany set to open its first liberal mosque in Berlin

Mkuu unasema yameingia kwani yalianzia wapi? Hao ndio waasisi wahiyo laana. Kumbuka dhambi hiyo ilianzia Sodoma na Gomora ambayo ni sehemu ya Iraq kwa sasa. Na huko ndiko kumbuka walikuwa wanaabudu mung aitwaye Bali ama kwa jina lingine allah.

Ukitaka kujua, mpeleke mtoto wako wa kimue akasome shule zinazoitwa za hawa watu kama hujaumia maisha yako yote!.

Ulipashwa kusema kwamba hayo mambo yamewekwa hadharani lakini si kwamba yameingie kule kwa kuwa kule ndio nyumbani yalikozaliwa na ndiko makao yake makuu!-

Soma hapa.

Saudi Arabia[edit]
This study [from the Office of Societal Supervision] reported that 46% of students in the city of Riyadh suffer from homosexuality. Twenty-five percent of students in Jeddah suffer from homosexuality. We must be aware of this in order to combat these numbers quickly. The society has become fragmented. When we have a percentage of students—children or teenagers—who are gay, this is a catastrophe, a true catastrophe.[36]
 
Mimi nitafurahi zaidi ikiwa hata misikiti ya kawaida itawaruhusu na wanawake wasali pamoja na wale wa kiume.Hilo la Mashoga kuingia msikitini sio jambo baya.Ikiwa watakutana na wahubiri wazuri ni rahisi kwa hao mashoga kubadilishwa mienendo yao kupitia mausia mazuri na ya kuvuvia nguvu ya Mungu.Mungu hakuja na habari njema duniani kwa ajili ya wema bali wakosefu.Hospitali hazifunguliwi kwa ajili ya wenye siha njema Bali kwa walio wagonjwa.Chakula kinalimwa na kuandaliwa kwa ajili ya wenye njaa.
Comment yenye akili hii.
 
Bahati mbaya UISLAM haunaga amendment, is either uufuate au uachane nao. There is no way ukaugeuza unavyotaka.

Uislam ni mfumo uliokamilika


Mkuu ni kwa kulitambua hilo ndio kisa wao wameanzisha mfumo.Wao wanajua fika kuwa misikiti ya kawaida hamuchangamani na wadhambi.Wao wameona isiwe nongwa.Wametafutana wadhambi kwa wadhambi.Inakuwaje kwenu inakuwa issue? Kwani muna ninyi ndio wamiliki wa neno "msikiti"? Hao ni Waumini tofauti kabisa na ninyi mpaka point hiyo.Hawawajui na wala msiwajue.Kwa ufupi msijuane na wala kufuatana fuatana.
Ninyi muliwaona wa nini; wao wamewaona ninyi wa kazi gani. Wao wameona kwa nini wawang'anie ninyi?
 
Hahahha uzuri wa uislam unaeleweka msimamo wake, Muda utaleta majibu baada ya kufunguliwa huo msikiti
Kuna mtu ameuliza swali hapo juu...kuwa:

Je misikitini wanaenda wasafi wa mioyo wasio na dhambi tu?

Nini maana ya kwenda kutubu?
 
Huo sio Msikiti ni Jumba la kufanyia ufuska ..


. Ili jengo liitwe Msikiti lazima liwe na vigezo flani flani.. Huwezi kujenga tu jengo lako na kuliita msikiti
Kuwe na

-Mikeka.
-Kipaza Sauti
-Maji ya kutawadhia.
-Maliwato...na vipi vingine?
 
Jamaa wabaguzi Sana Sasa Sijui kama Mungu (alha) wao anatabia kama Yao ya kubagua viumbe vyake Nashangaa.mvua tunaipata wote wema na wabaya. Jikagueni wafuasi wa mudi
 
Hiyo inakusudiwa kusafisha waislamu na sio kuwanajisi.Kuwatenga waislamu wadhambi wasiingie Misikitini ndio kuunajisi Uislamu wenyewe.Kuwatenga wanawake waislamu wasichangamane na waislamu wanaume wakati wa kusali ndio kuukafikirisha uislamu huko.

Msikitini kunafanyika dua mbele ya Munyazimungu.Kwani nini uwatenge waumini wakati shida yenu na hitaji la wote ni hilo hilo tu?

Kwani msikitini kunafanyika mambo ya siri ambayo wanawake hawatakiwi kuyaona wanaume wakiyafanya?

Hapa tumelalamika kuibiwa dhahabu kwa wingi kupitia maboso (makanikia) kusafirishwa tokana na kukosa Smelter ya kuchenjulia.Msikiti au Kanisa ni Smelter.Humo "wanachenjuliwa" wenye dhambi ili kupata watu wema( dhahabu na madini safi). Sasa ikiwa tuna makanikia na hatutaki yawekwe kwenye smelter dhahabu itapatikana vipi?

Sisi tunaokataa wanawake na mashoga wasijumuike na watu wengine misikitini ndio tunasababisha makanikia( watu wakosefu) waibiwe na shetwan.
Nmekuelewa vizuri sana ila mkuu dini yetu ya kiislam haendi kwa maoni ya watu na rai zao Bali yenyewe ipo strictly ktk kufuata Quran & Sunna basi

Allah anasema kwenye Quran

"Shikamaneni katika kamba ya Allah ( Quran & Sunna ) wala msitofautiane " [ 3:103 ]

akasema tena

" Saidianeni katika wema na uchamungu wala msisaidiane katika madhambi na uadui" [ 5: 2 ]

Ikiwa muongozo wetu unasema hivyo basi sisi hatuwezi kushirikiana na Mashia kwasababu hawajashikamana ktk msingi wa Quran & Sunna bali hawa sio waislam dini yao ni tofauti kabisaa na uislam

Tukija kwa mashoga hawa haturuhusiwi kushirikiana nao maana tutakuwa tunasupport uovu madhambi na uadui bali sheria ya kiislam imeamrisha kuuwawa watu hawa mfanyaji na mfanywaji wote hukmu yao ni kuuliwa ( mlawiti & mlawitiwa )

Amma kuusu wanawake mbona sheria haijakataza kuswali nao msikitini isipokuwa hatuchanganyiki nao wanaume wanakaa mbele kisha wanawake nyuma imma kwa kutenganishwa na kizuizi au hata bila kizuizi mkawa mnaonana sheria haijakataza

Dini ya kiislam imesha kamilika haiitaji ziada wala maboresho kwaiyo mkuu ktk uislam hakuna kitu kinachoitwa

"MODERN ISLAMIC WAY OF LIFE "

Ndo maana nikasema hawa watu matendo wanayoyafanya hayapo na wala hayakubaliani na uislamu kwa 100% na msikiti kama huo ni haram haram tena haramu kuswali!!
 
Kwao ushetani umewajaa sasa wanakuwa na visingizio kila namna lakini hawatoweza.

Uislam ndiyo njia pekee kwa Allah. Huu upuuzi haukuanzia Ujerumani lakini nako utashindwa kama ulivyoahindwa kwengine .

Eti wamekodishwa na kanisa katoliki wafanye huo upuuzi wao. Wananchekesha.

Wakatoliki wameingia aje hapo mkuu? Wakatoliki wangewataka wangewachukua na kuwabatiza kabisa.

Sawa tukubaliane ni Wakatoliki ndio wamewashawishi.Kama ndivyo basi munatakiwa kuwashukuru sana Wakatoliki kwa kuwatueni hiyo "mizigo". Ninyi muliwatenga kwa miaka nenda rudi hao "makafiri".Wakatoliki wameamua kuwasaidia kuwaondoshea mbali huko.Kwani wewe huwezi kuithamini na kuipenda gari linalokunyonyea kinyesi nyumbani kwako? Ninyi bakini safi acheni hao "wachafu" waende zao.
 
Mkuu unasema yame


Mkuu unasema yameingia kwani yalianzia wapi? Hao ndio waasisi wahiyo laana. Kumbuka dhambi hiyo ilianzia Sodoma na Gomora ambayo ni sehemu ya Iraq kwa sasa. Na huko ndiko kumbuka walikuwa wanaabudu mung aitwaye Bali ama kwa jina lingine allah.

Ukitaka kujua, mpeleke mtoto wako wa kimue akasome shule zinazoitwa za hawa watu kama hujaumia maisha yako yote!.

Ulipashwa kusema kwamba hayo mambo yamewekwa hadharani lakini si kwamba yameingie kule kwa kuwa kule ndio nyumbani yalikozaliwa na ndiko makao yake makuu!-

Soma hapa.

Saudi Arabia[edit]
This study [from the Office of Societal Supervision] reported that 46% of students in the city of Riyadh suffer from homosexuality. Twenty-five percent of students in Jeddah suffer from homosexuality. We must be aware of this in order to combat these numbers quickly. The society has become fragmented. When we have a percentage of students—children or teenagers—who are gay, this is a catastrophe, a true catastrophe.[36]
Uongo mtupo Saudia Arabia ukizini una uwawa, mashoga hakuna saudia hukmu ya shoga ni kuuwawa mambo hayo yapo ktk nchi za kikafiri kama Italia, ufaransa, uingereza, ujerumani na nchi nyinginezo zenye mlengo sawa na hizo embu ntajie Sheikh gan / Imam gani amejitangaza/kutangazwa kuwa yeye ni Shoga alafu geuza upande wa pili Je ni Mapadre wangapi wa Italy au Uingereza wamejitangaza kuwa ni Mashoga

Lakini nyinyi kwasababu mnachuki na uislam ugonjwa wenu wa ushoga mmeutupia ktk uislam na kuonyesha kuwa uislam unakubaliana na ushoga

Bali habari maarufu ya ulawiti wa watoto wa kiume nchini Italy na Philippine umefanywa na mapandre wa kikatoliki lakini hili mmelinyamazia kimya na kulitupia ktk uislam
 
Back
Top Bottom