Msikilizeni Zitto Star TV


Uko kamili upstairs? Kila thread ikianzishwa unatupia huu utumbo
 
CHADEMA kumejaa hakuna nafasi za kina Shibuda.Ukawa tumeshamaliza kai ya kugawana majimbo na CHADEMA wagombea wetu wote wanajulikana.Shibuda mwenyewe nafasi yake inazibwa na Kamanda mwingine. Nyinyi subirini watakaotemwa na mabwana zenu magamba.
 
ok mkuu. Vipi zitto amepata zile milion 700 toka kwa mamvi na ccm?

Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi hii atachangia tu, kwa sasa tunaanza kuweka kapu baada ya kupigwa neno la ukombozi wa kizalendo unatupia noti kwenye kapu, mihadhara sasa ni mwanzo mwisho hadi nchi irudi kwenye misingi yake.
 

Kwahiyo mkuu unataka Chadema tuache kufanya kazi zetu kwasababu ya ziara za Zitto? hahahaa
 
Team ccm please tuendelee kumpa support ya kutosha kijana wetu zzk
Tunajua CCM wamemwambia ayatullah siku akithubutu kuchukua mwanachama hata mmoja kutoka CCM ndiyo itakuwa mwisho WA kukifadhili hicho kikundi cha act wasaliti.
 
Zzk ni janga la upinzani hapa tanzania
Ulitaka baada ya kufukuzwa cdm akalime na aache siasa? poleni sana wachagga, yamewafika!na ziara mikoa 14 iliyobaki inaanza next week, watu watafurika na kuchukua kadi kama kawaida!!
 
Bila shaka ni hazina ya Mama yako

Mi sitaki kuamini kama kweli wewe ni Chadema! Unamtukana mama yake? We sio wa Chadema. Siamini kabisa! Inaonekana huna elimu hata ya chekechea! Elimu ndogo ni tatizo! Lasivyo yawezekana ulimchungulia mzazi wako jinsia ya KE sehemu nyeti ukapata laana! Sio bure! manaake huwaheshim akina mama!

Hiyo laana uloachiwa itaendelea kukutafuna milele daima! Ungama dhambi zako hujachelewa. Mheshim mama ako na akina mama wote ili upate baraka.

Siasa sio ugomvi na matusi dhidi ya wazazi wetu tena wasiohusika. Washabiki wa MAGAMBA waache washabikie au waelimishe, wafuasi wa ACT nao vivyohivyo.

Nikweli CCM imetuchosha, ila harakati za kuitoa CCM madarakani haziwezi kufanikiwa kwa matusi na vitu vingine vinavyofanana na hivyo. Jenga hoja Watanzania wakuelewe.
 
Zitto na ACT wanatoa hoja za kujenga Taifa! CDM na misukule yao wanaporomosha matusi tu.

Nimemsikiliza vizuri, hakuna la maana aliloongea ambalo naweza lilipoti hapa!! Acha kuwa msukule wa Zitto, jitambue utoke kuwa mfuasi wa mtu uwe mfuasi wa itikadi!! CDM ina majibu yote kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi pamoja na matatizo yanayotukabiri wanyonge!! Sio hizo porojo za umimi za Msaliti Zitto!!
 
hapa ndo unagundua zito anawalaza milango wazi chadema, ikiwekwa habari ya zito maskio yanawasimama kama sungura
 
hapa ndo unagundua zito anawalaza milango wazi chadema, ikiwekwa habari ya zito maskio yanawasimama kama sungura
kwa hiyo jukwaa ni la zitto ikiletwa habari yake isijadilie poor JF inashushwa hadhi na wanazi wa zitto kwa kasi ya ajabu
 

Umeongea kitu cha maana sana, chadema wanachofanya ni philosophy ya kimarekani inayoitwa "affirmative action" na philosophy ya kijerumani inayoitwa "Black Propaganda" pia wanatumia philosophy ya kirusi iliyotumiwa na Stalin iliyoitwa "Lumpen proletarian" kwa wakati ule theory hizi zilifanikiwa ila kwa siasa za Tanzania tayari zimeshachelewa, ukitumia mbinu hizi kwa muda mrefu watu wanaanza kugutuka polepole.
 
Mi nilidhani ni ACT kama chama kumbe ni Zitto kama a.y.atula.h?? Siku mkimjua rangi yake ndo akili itawakaa sawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…