Mama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :
Kabla ya kutuhubiria
Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu
Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.
Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.
Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.
"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7
Hakika umechambua vizuri. Mh. Dkt Gwajima pia alione hili la kwenye public transport hasa mabasi unakuta wanaweka movie za kuuana ambazo hazipaswi maana unakuta kuna watoto yaani badala ya serikali kuweka amri mabus yote yaoneshe royal tour unakuta ma movie ya kuchinjanaMama unachokihubiri na unachokiishi ni vitu viwili tofauti wewe kama Waziri mwenye dhamana ya maendeleo ya jamii umechukua hatua gani :
Kabla ya kutuhubiria
Neno hilo lingeanza kukusaidia wewe Kuona vitu vinavyoharibu jamii....
Mfano
-Kuna matangazo ya pombe
-Betting
-Michezo ya bahati nasibu
Haya yote yanafanyika kiholela sana. Kuna vitu vinapandikizwa kwa jamii hasa watoto wetu mapema sana na ndio chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii, Uvivu na kudumaza fikra za vijana wengi kutoona fursa.
Mmomonyoko wa maadili hauji ghafla kama chafya,, ni vitu Hivi ambavyo mnapuuza.
Mama haya ulipaswa kuyasimamia hata kwa gharama ya kujiudhuru kama ungekosa ushirikiano.
Vinginevyo , mtakuja kuulizwa maswali magumu sana kwa Mungu kwa nafasi za uongozi mlizopata hapa duniani.
"Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure." Kutoka 20:7
Inashangaza anatuasa kuhusu kunyanyaswa kwa watoto na wakina mama na ukatili wa jinsia,Dkt. Gwajima D
Mama Vicky em njoo hapa utolee ufafanuzi wa kina. Lol
Lete cheti chako cha kusoma chuo cha ustawi wa jamii kwanza kabla ya kurejea majukumu yake kwa kufuata upepo wa online rafiki🙆Inashangaza anatuasa kuhusu kunyanyaswa kwa watoto na wakina mama na ukatili wa jinsia,
Hivi mtu kutekwa na kuuwawa na mtu kunyanywaswa kingono kipi kibaya zaidi?
Maana yote yanahusu ustawi wa jamii ambao Uko chini wako Madam Waziri😂😂😂
Au wanaotekwa ni wa jamii ipi😜
Kula chuma hiko.
Unawajua TABOA na LATRA?Hakika umechambua vizuri. Mh. Dkt Gwajima pia alione hili la kwenye public transport hasa mabasi unakuta wanaweka movie za kuuana ambazo hazipaswi maana unakuta kuna watoto yaani badala ya serikali kuweka amri mabus yote yaoneshe royal tour unakuta ma movie ya kuchinjana
Utaji mix mwenyewe tu na C zako divide by D zakoHatarii,Serikali inafungia taasisi ya kidini ,Mama anakuja kuzindua jengo la taasisi ya kidini,Mawaziri wanatuelekeza kuwa kutumia vitabu vya Dini,
Mwaka huu tutachanganyikiwa sisi
Ungenipa cheti chako cha kusomea uwaziri wa ustawi wa jamii kwanza ingependeza zaidi 😜Lete cheti chako cha kusoma chuo cha ustawi wa jamii kwanza kabla ya kurejea majukumu yake kwa kufuata upepo wa online rafiki🙆
Najua nimekuvuruga Samahani madam 😜😜Utaji mix mwenyewe tu na C zako divide by D zako
Ungenipa cheti chako cha kusomea uwaziri wa ustawi wa jamii kwanza ingependeza zaidi 😜
Spana zenyewe sasa za urongo na ukweli, hadi mimi huona burdani tu😇😇😇 maana zinajirudia rudia hadi zinaunda kamuziki ka kidigitaliNajua nimekuvuruga Samahani madam 😜😜
Siku moja moja unakula spana kichwa kikae sawa
Mimi walau nina washauri rasmi nawasikiliza tunapiga kazi hadi tunalinda wanao huko umeshindwa kuwalinda, sasa wewe washauri wako rasmi wako wapi au kama una kacheti nikuombe uwe mshauri wangu pia? Naona vyote huna😭, kilio
Inategemea na uelewa lakini, kwa hili nimekusamehe. kwa majibu yako bila shaka limekuzidi kimoSpana zenyewe sasa za urongo na ukweli, hadi mimi huona burdani tu😇😇😇 maana zinajirudia rudia hadi zinaunda kamuziki ka kidigitali
Halafu sasa nisiporudi weye sasa umejiandaaje kwenda na fomu muda umepita🤗Nipe chako kwaza cha ustawi wa jamii, 😜😜
Alafu Naona kama hurudi tena wewe kwenye baraza😜😜
Swali lako lenyewe naona pia lilikuzidi kimo😅Inategemea na uelewa lakini, kwa hili nimekusamehe. kwa majibu yako bila shaka limekuzidi kimo
Kwa Hili sioni ukirudi madam,Halafu sasa nisiporudi weye sasa umejiandaaje kwenda na fomu muda umepita🤗
Kwani kuna mashindano ya kurudi na kutokurudi😃Kwa Hili sioni ukirudi madam,
Swali lako lenyewe naona pia lilikuzidi kimo😅