Msikilize huyu mdogo wa SOPHIA SIMBA radio Wapo sasa hivi.

Unapoficha habari unajikomoa mwenyewe


wewe ni mbinafsi unafikiri jamiiforums wote tuna nafasi ya kusikiliza Wapo sasa hivi ni kazi yako kutuhabarisha kinachoendelea sio kujaza tu kurasa hapa. Kuna wengine mahala walipo hawana redio, wako busy na kazi nyingine.
 
Radio wapo sasa hivi
Mkuu jitahidi uwe unaweka vitu vinavyoweza kusaidia members... si kila mtu ana access ya redio na pia we have lots of members outside the country. Jaribu kuwa smart japo kidogo ili ueleweke au weka summary ya discussions kwenye forum
 
inawezekana alipokuwa anaandika thread yake alikuwa amelazwa hospitali akisikiliza redio ya mgonjwa mwenzie... kaenda wapi sasa? kama amepona ni jambo jema na kama ame.... RIP
 
Tusikilize nini? I guess atakua anaongea upupu ule ule wa ndugu yake
 
Huyu jamaa aliandika hii thread atakuwa ameenda toilet! Labda tusubiri kidogo.
 
Jamani aliyeweka sredi bado yupo toilet...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! aje atuhabarishe zaidi huyo wapo ndo nn????????
 
Huu sasa ni uthinker gani? mode watu wanaoleta mzaha na kupiga soga waadabishe please!
 
Back
Top Bottom