Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

Anasema CCM haina mpasuko, lakini viongozi wenyewe akiwemo Mukama kwa nyakati tofauti wamekiri kwamba kuna mpasuko japo wanau-underestimate kwa kusema ni mdogo.

Hivi wabunge wanahusika vipi na mbio za urais kuelekea 2015? Mukama na Msekwa mara kwa mara wamekuwa wakisema kwamba mbio hizo ndio zinakidhoofisha chama, sasa mtaalam wetu Bana anasema hakuna mpasuko ila ni wabunge tu ndo hawana uelewano na chama ... ****!

Kabla ua uchaguzi wa Arumeru Mashariki, alisema CCM ingeshinda. Leo CHADEMA wameshinda anasema CCM haiaminiki tena na kwamba come 2015 dola inaweza kutwaliwa na chama kingine. But ni huyu huyu Bana alisema haoni chama mbadala cha kuiondoa CCM madarakani, na ni kama wiki 6 tu zilizopita.

Ukishakuwa na nchi yenye wasomi kama Bana, ujue janga linawanyemelea.
 
Njaa inamsumbua huyu jamaa, sijui msomi gani ana akili mgando namna hii. kodi zetu zilipotea bure ni bora tungekunywa kahawa
 
Huwa nasikitika sana nikimsikia mwl wangu Dr Bana. Siamini kama anayoyasema huwa anyaamini. Ukimwangalia kwa makini hakuna ushirikiano kati ya maneno yake na haiba ya "mtaalamu wa mambo ya siasa!"
Ukimsikiliza kwa makini ni kama anaongea ili am "impress" mtu fulani! Kwa ufupi anaiabisha taaluma!

Haa hivi kumbe huwa ni Dr wa ukweli? mi nilidhani huo u Dr ni wa heshima? Mbona hafanani kabisa na msomi?
 
Anasema CCM haina mpasuko, lakini viongozi wenyewe akiwemo Mukama kwa nyakati tofauti wamekiri kwamba kuna mpasuko japo wanau-underestimate kwa kusema ni mdogo.

Hivi wabunge wanahusika vipi na mbio za urais kuelekea 2015? Mukama na Msekwa mara kwa mara wamekuwa wakisema kwamba mbio hizo ndio zinakidhoofisha chama, sasa mtaalam wetu Bana anasema hakuna mpasuko ila ni wabunge tu ndo hawana uelewano na chama ... ****!

Kabla ua uchaguzi wa Arumeru Mashariki, alisema CCM ingeshinda. Leo CHADEMA wameshinda anasema CCM haiaminiki tena na kwamba come 2015 dola inaweza kutwaliwa na chama kingine. But ni huyu huyu Bana alisema haoni chama mbadala cha kuiondoa CCM madarakani, na ni kama wiki 6 tu zilizopita.

Ukishakuwa na nchi yenye wasomi kama Bana, ujue janga linawanyemelea.

ndo ma-lecturer wanaowakamata wanafuri kila semesta,kumbe nao ni vibwengo,bora hata hao wanafuny wao,kuliko wao,
afadhali Bashiru Ally
 
Kama kuna mtu anaboa bac ni huyo jamaa. Anatakwimu za ajabu sana.Mi nadhan angejitangaza kuwa yeye ni magamba.
 
Kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti Bw Bana mi msomi lakini hajaelimika . Hajui dunia inakwenda vipi, wazee wa namna hii ni kuwasamee tu , nalo ni gamba . Magamba yamepachikwa mpaka idara zote za serikali wee unategemea nini kwa domokaya huyu , kaishapitwa na wakati. Huyu ni kama mwenzake Wasira Madigirii kibao lakini hawajaelimika si ajabu usiku ukawakuta kwa Maji marefu
 
Hivi kwa nn huwa wanaongea naye anyway? Ana lipi aliloacomplish tangu amekaa hapo UDSM hapo idara ya social science! Yaan huyu na yule jamaa anaitwa mkandara mm nawadharau sana! Hawana hata huruma kwa ndugu zao huko sitimbi na bukoba wanaokula nyasi! Shame to hav this type of profesors in this poor country ! Wana roho mbaya sana.
 
"Dr." Bana coment zake ni za kutafuta ulaji wa kupewa vyeo vya kuteuliwa na Bwana Mkubwa JK. Imekula kwake kabisaaa. hana jipya kabisa zaid ya kuongea kisichoendana na wakati
 
Dr.bana kwa kweli ni mtaalamu wa mambo ya siasa, kinachonisikitisha ni yeye kutokuwa makini wakatiwa kuzungumzia siasa za Tanzania hana fair play ground ya usuluhishiwa vyama kama mtaalam wa siasa na huyu jamaa anatumiwa na chama cha mapinduzi katika ushauri na ni bahati mbaya sana kwamba hajafanya kazi yake sawasawa ya kuwashauri viongozi wa ccm kuacha propaganda zilizopitwa na wakati,.Sijawahi ona creativity katika ushauri au maoni yake na sijajua kwa nini redio zinamtumia kwani huna wengine zaidi mbona wapo ambao taaluma zao si za kisiasa lakini maoni yao huwa mazuri sana mfan. Dr. Mkumbo.
 
Kauli kigeu geu kama hizi ni lazima ziwanyime fursa YA kuongea . Dr. Benson bana try to be consistent you are a man of vitality. Stop murmuring unnecessarily. DR Bana anaongea kutokana na hali iliyopo ktk uwanja wa mapambano sasa mlitegemea aseme siyo rahisi kuiong'oa ccm wakati tayari iko chali huko arumeru?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom