Msikie Tajiri Bill Gates anavyoongea kuhusu umaskini...TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA!!!

Mazingira anayoongelea ni kwao...

Huku kwetu magamba wanatubana kila kona, vipi utaweza kufa tajiri, labda uwe fisadi !!
 
kuna opportunities nyingi sana za kuwa middle class earners in tanzania sema system iliyopo kwa kweli it does not favour those opportunities
 
sio ulaya tu, hata kwetu. Mungu katupa mikono miguu macho na akili hatuvitumii twasingizia magamba, juhudi binafsi na kujitoa kwa dhati ktk shughuli tunazofanya ndo zitatuoa kwenye lindi la umaskini uliokubuhu. tufanye kazi kwa juhudi tutafanikiwa
 
sio ulaya tu, hata kwetu. Mungu katupa mikono miguu macho na akili hatuvitumii twasingizia magamba, juhudi binafsi na kujitoa kwa dhati ktk shughuli tunazofanya ndo zitatuoa kwenye lindi la umaskini uliokubuhu. tufanye kazi kwa juhudi tutafanikiwa

Tanzania ina resources nyingi sana. Tatizo, wananchi wakianza tu kuzitumia, serikali inakuja kuwatimua na kuwaleta 'wawekezaji'. Hiyo ndio shida. Ndio maana watu wanalalamikia magamba.
Kero hii imeenea sana mpaka kwenye resource ya ardhi.
Huchelewi kuambiwa "Ondoka hapa, wewe ni mvamizi, eneo hili walishapewa wawekezaji tangu mwaka 1976 !!!"
 
Hii kauli inaukweli fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi 6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu
 
Kiasi fulani kunaokweli, hapa bongo tunataka vitu vinavyokuja vyenyewe, hatuchachariki, pita mitaaani asubuhi, mchana au jioni utaona huruma, vijana hawakukuruki kabisaaa!!
 
Mbona madaktari wenzako (Interns) wanalia mshahara hautoshi au wewe umetumia stahili ile ile ya chukua chako mapema. Maana tunasikia dawa zinasambazwa na MSD kila siku lakini hazitoshi mahospitalini bana.
 
cjasikia ukimtaja mama baada ya kupata mafanikio!au ndo umemuacha aendelee kupika pombe?mana wengi huwa tunawasahau wazazi tukishafanikiwa.
 
Kumbe madaktari mambo mazuri,halafu mnalalamika mshahara hautoshi.Kama ndani ya miezi sita umeweza kununua prado na shamba heka nne na watoto wawili unasomesha private basi kumbe kulalamika kwenu kote na kuacha kuhudumia watanzania wasio na hatia mahospitalini na wengi wao wakapoteza maisha yao kulikuwa hakuna maana yoyote.
 


Bravo Mupirocin!
umenikumbusha wimbo wa dolly unaoitwa "a coat of many colours"
 
Bibie.@farkhina na Mkuu C6 Karibuni tuzitumie hizi Pesa jamani nipo peke yangu siwezi kuzimaliza karibuni jamani.Mkuu Boflo upo wapi leo? dunia yote ni yangu mimi hahahahahah :biggrin:eace:


 
Last edited by a moderator:

Pombe haramu mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…