Msikie Tajiri Bill Gates anavyoongea kuhusu umaskini...TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA!!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,041
If you born poor its not your mistake but if you die poor its your mistake

598754_365502280170258_164706239_n.jpg

Je ni kweli lakini?
 
Mazingira anayoongelea ni kwao...

Huku kwetu magamba wanatubana kila kona, vipi utaweza kufa tajiri, labda uwe fisadi !!
 
kuna opportunities nyingi sana za kuwa middle class earners in tanzania sema system iliyopo kwa kweli it does not favour those opportunities
 
sio ulaya tu, hata kwetu. Mungu katupa mikono miguu macho na akili hatuvitumii twasingizia magamba, juhudi binafsi na kujitoa kwa dhati ktk shughuli tunazofanya ndo zitatuoa kwenye lindi la umaskini uliokubuhu. tufanye kazi kwa juhudi tutafanikiwa
 
Tanzania ina resources nyingi sana. Tatizo, wananchi wakianza tu kuzitumia, serikali inakuja kuwatimua na kuwaleta 'wawekezaji'. Hiyo ndio shida. Ndio maana watu wanalalamikia magamba.
Kero hii imeenea sana mpaka kwenye resource ya ardhi.
Huchelewi kuambiwa "Ondoka hapa, wewe ni mvamizi, eneo hili walishapewa wawekezaji tangu mwaka 1976 !!!"
 
Hii kauli inaukweli fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi 6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu
 
Kiasi fulani kunaokweli, hapa bongo tunataka vitu vinavyokuja vyenyewe, hatuchachariki, pita mitaaani asubuhi, mchana au jioni utaona huruma, vijana hawakukuruki kabisaaa!!
 
Hii kauli inaukweli fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi 6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu
Mbona madaktari wenzako (Interns) wanalia mshahara hautoshi au wewe umetumia stahili ile ile ya chukua chako mapema. Maana tunasikia dawa zinasambazwa na MSD kila siku lakini hazitoshi mahospitalini bana.
 
cjasikia ukimtaja mama baada ya kupata mafanikio!au ndo umemuacha aendelee kupika pombe?mana wengi huwa tunawasahau wazazi tukishafanikiwa.
Hii kauli inaukweli
fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika
pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini
kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa
nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini
ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na
Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi
6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma
shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule
imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu
 
Hii kauli inaukweli fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi 6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu
Kumbe madaktari mambo mazuri,halafu mnalalamika mshahara hautoshi.Kama ndani ya miezi sita umeweza kununua prado na shamba heka nne na watoto wawili unasomesha private basi kumbe kulalamika kwenu kote na kuacha kuhudumia watanzania wasio na hatia mahospitalini na wengi wao wakapoteza maisha yao kulikuwa hakuna maana yoyote.
 
Hii kauli inaukweli fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi 6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu

Bravo Mupirocin!
umenikumbusha wimbo wa dolly unaoitwa "a coat of many colours"
 
Bibie.@farkhina na Mkuu C6 Karibuni tuzitumie hizi Pesa jamani nipo peke yangu siwezi kuzimaliza karibuni jamani.Mkuu Boflo upo wapi leo? dunia yote ni yangu mimi hahahahahah :biggrin::peace:

304817_181208981955799_701492531_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hii kauli inaukweli fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi 6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu

Pombe haramu mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom