Msikie Tajiri Bill Gates anavyoongea kuhusu umaskini...TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA!!!

Kumbe madaktari mambo mazuri,halafu mnalalamika mshahara hautoshi.Kama ndani ya miezi sita umeweza kununua prado na shamba heka nne na watoto wawili unasomesha private basi kumbe kulalamika kwenu kote na kuacha kuhudumia watanzania wasio na hatia mahospitalini na wengi wao wakapoteza maisha yao kulikuwa hakuna maana yoyote.

Usitoke nje ya mada mkuu.
 
Hii kauli inaukweli fulani, nikiangalia mimi kwetu tulikuwa masikini lakini mama amepika pombe nikasoma na wadogo zangu. Na tangu nikiwa shule sikuwahi kuamini kuwa mimi ni masikini ingawa nilikuwa naganga maisha kweli. Kwa sasa nakula maisha mimi na wife wote ni Madaktari nina miezi 9 kazini ninamiliki gari moja shamba eka nne, na viwanja viwili morogoro na Pwani. Ingawa viwanja nimenunua nikiwa internship, kwa kipindi cha miezi 6 nimenunua gari na shamba la eka 4. Na wadogo zangu wawili wanasoma shule ya private seminary. Kwa hiyo nakubali kauli ya Bill Gate, shule imenitoa na bado naamini sijafika peak ya maendeleo yangu

Na kwa nini mliandamana na watu wakafa? Si mngetumia tu mbinu nyingine?
 
Na kwa nini mliandamana na watu wakafa? Si mngetumia tu mbinu nyingine?
mkuu Saint Ivuga Ma Daktari kuandanama walikuwa wana dai haki zao zitekelezwe Serikalini kwanini Wabunge na Viongozi wengine Serikali inawasikiliza lakini MaDaktari na Waalimu Serikali haiwasikilizi? Pasipo na MaDaktari na Walimu nchi yetu itaendelea kweli? pasipo na Afya na Elimu kutakuwa na nchi kweli?
 
Back
Top Bottom