Msikie Joseph Kabila na kiswahili chake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msikie Joseph Kabila na kiswahili chake!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Independent Voter, Feb 12, 2012.

 1. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiki ni kiswahili kweli???

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,046
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  hahahahaaa..kukaa kote msasani bado kiswahili kina mpiga chenga?
   
 3. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hapana, si kwamba hajui Kiswahili, inabidi aongee hivyo ili aendane na hao anaowahutubia. Kwa taarifa yako kiswahili ndio lugha anayoijua J. Kabila vizuri zaidi kuliko lugha zote, ikifuatia English. Hakujua French na Lingala kwa ufasaha alipoingia madarakani, so ikabidi aanze kujifunza.
   
 4. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  msikie hapa,utaona anongea tofauti kidogo na pale juu...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Akiongea kiswahili cha bongo hawatamuelewa, hapo sasa ndio sawa kabisa, kama huamini nenda Kisangani utashangaa lugha wanayoongea na watakwambia ni kiswahili.. lakini wewe hutaelewa chochote.
   
 6. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45

  Nimependa sana hiyo signature yako
   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni ukweli kabasa kwa mfano ukitaka kusema maendeleo kule kongo inabidi useme developaa
   
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe kabisa, pamoja anaigiza kiswahili cha kicongo, lakini phonetic yake ni pure ya kitanzania.
   
 9. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  anachanganya kiswahili na kifaransa unaweza kuelewa vizuri kama unajua kifaransa kiufupi facilement=rebuilt bientot=soon, Développement=development, numero trois=number 3, vingt huit Novembre=November 28, avant=before, mais=but, deux milliers deuze=2012, quatre-vingt cent=180, candidat=candidate, campagne électorale=electoral campaign, deux milliers six=2006, promesse=promise, Nord=North, ville=city, modern=modern, voiture=car, moto (kiswahili cha kivu)=train, deux milliers onze=2016!
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Du kweli jf ni kisima cha kila kitu mpaka wafaransa tunao,safi sana.Lakini nikichangia kwenye mada kuu ni kwamba anachokifanya bwana Rais Joseph kabila wa kabange watoto wa mjini dar es salaama wanaita "kujichanganya",yani kila jimbo analotemnelea huko congo anajichanganya na watu wa pale kwa kuongea kama wao,ndio maana mnaona hata kiswahili alichoongea kisangani ni tofauti kidogo na alichoongea nord kivu(north kivu)na pia ukimuona anaongea na watu wa lubumbashi pia ataongea kiswahili cha lubumbashi,hata akija dar ataongea kiswahili cha watu wa dar yani watz.
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Jamaa anajua kiswahili vizuri sana. Nadhani hapo yupo Kisangani ama Lubumbashi ambapo kiswahili chao huchanganya lingala, kiswahili na kifaransa na kupata lugha inayokaribia kiswahili ambayo wao huiita kiswahili. Ilibidi aongee hivuo ili kufikisha ujumbe. Kajamaa kananena Kifaransa, Kiswahili, Kiingereza na Lingala.
   
 12. K

  KIFILI Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bwana SINKALA uraia wako inabidi uchunguzwe japo unaongea kiswahili cha kuandika kwa ufasaha,wewe ni mzambia,japo utajifanya mtu wa mbozi..hongera kwa mafanikio katika soka la africa
   
 13. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ndugu hiyo ID yako haistahili kabisa,tafadhali fikiria kwa busara na heshima,KIFILIO??!! KIFILIO???!!!! Ippo mtu atakua na ID ya MAKU kama mods mnaangalia tu!
   
 14. K

  KIFILI Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mdau usije kupigwa ban bure kifilio ni kiswahili safi kabisa cha neno sharpener kwa maana ya kichongeo watu wa bara wanavyoita,lakini kiswahili chake kwenye kamusi ni kifilio sio kichongeo!
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hicho sio kiswahili cha Kabila, hicho Kiswahili cha Kisangani.
   
 16. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Pengine anaongea kishwahili kulingana na mazingira
   
 17. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,127
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kwn google imewekwa ajil gan!
   
Loading...